Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,045
- 13,483
- Thread starter
- #41
ninapopenda mim ni hapo tu....kamwali pekechua pekechu...mwe....ngoja nilale kesho church...
kagonai mwanja tuwonane chilau si wimanya chilau ni dominika!
ninapopenda mim ni hapo tu....kamwali pekechua pekechu...mwe....ngoja nilale kesho church...
kina namnagani hakipandi nini ila ingekuwa ndaga fijo tungekoma..
nitafsirie hapa wa kunyumbaWanawake wa kingoni kwa viuno ni balaa ndo mana kagiza kakiingia ndo upendo unaongezeka.
Wimbo wa kujisifia kukatika unaimbwa hivi "mmeka meka na maunu ginu *2,ngati nibweli nene ,mwanja muwoni honi mwamwevene""
mlongo wangu mganda wanacheza wanyasa, wamatengo ni lindeku
nitafsirie hapa wa kunyumba
mzeee BAK aka Mzee wa Youtube ushafanya yako.. habari yako bana..
ndugu inabidi unifundishe kingoni hasa maneno muhimu km haya kwa kweli deo corleone
ndugu inabidi unifundishe kingoni hasa maneno muhimu km haya kwa kweli Deo Corleone
Hahaha hawa watani zangu kuna maneno nayaelewa ingawaje ndio siwezi kuwajibu...hapa nimejiegesha kuwatania tu!!!
ndio, mimi kadodawe ni wa nyumbii bombii!!
umeona kadala,siku hizi tumekuwa na mambo mengi kweli, ila taratibu taratibuWahanga tuko wengi.......muhimu kwenda kijijini ukae uko mwezi mzima ukirudi utakuwa umejuakidogo
Hata mim hizi ngoma uwa zinanichanganya kweli.......ila kwenye ngoma inayonishinda kucheza ni mganda zile steps zinanishindaga....
Unaruhusiwa kubadili kabila....karibu ungonini....upate mema kwenye idara ya ndoa....
ndio, mimi kadoda