Wangoni tunawapenda wake zetu hasa linapozama jua!!

kwenye hilo suala ruvuma imejaliwa kwakweli hapa wangoni huku wamatengo kule wayao, daah ukionja asali waeza chonga mzinga na wenyewe hata sio wanyimi bas duh

kweli!! Mimi nimeonja toka tunduru,songea na mbinga.
 
Kwi kwi kwi kwi mapenzi yanaongezeka pale jua linapozama 🙂🙂 njemba inajua baada ya kazi za siku nzima usiku itapewa papuchi hahahahah!!!!
kwi kwi kwiiiiii si ndo tulioana sababu hiyo?
mengine yote mbwembwe tu, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Si wachaga jua likizama Tunaanza kufanya mahesabu tumeingiza shiling ngap na mamsapu wangu&
 
Hahahaha lol! sikutaka kukuCC nilijua utakuja tu. Umeonekana sehemu sehemu ukiwa na tabasamu kubwa sana leo. Inadaiwa umefanya usafi wa nguvu nyumba nzima na kisha kufanya shopping ya nguvu na kupika pilau la Temeke 🙂🙂. Najua unamsubiri chanda kwa hamu kubwa sana. Msalimie sana mwambie nitamtafuta na kila la heri katika kujirusha na chanda katika mitaa mbali mbali ya jiji. Kujirusha muhimu banaaa asikwambie mtu lol!!!

kwi kwi kwiiiiii si ndo tulioana sababu hiyo?
mengine yote mbwembwe tu, lol!
 
Hahahaha lol! sikutaka kukuCC nilijua utakuja tu. Umeonekana sehemu sehemu ukiwa na tabasamu kubwa sana leo. Inadaiwa umefanya usafi wa nguvu nyumba nzima na kisha kufanya shopping ya nguvu na kupika pilau la Temeke 🙂🙂. Najua unamsubiri chanda kwa hamu kubwa sana. Msalimie sana mwambie nitamtafuta na kila la heri katika kujirusha na chanda katika mitaa mbali mbali ya jiji. Kujirusha muhimu banaaa asikwambie mtu lol!!!
kwa raha zetu....
salamu zimefika
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naona jua linazama na niwakati ambao kwetu sisi upendo kwa wanawake unaongezeka maradufu.
Tuna wimbo unaimbwa hivi" ne mdala wangu nikupali sana hasa palihere lyuva" ukimaansa 'mke wangu nakupenda sana hasa jua linapozama''!!!!

Ninapopenda mim ni hapo tu....kamwali pekechua pekechu...mwe....ngoja nilale kesho church...
 
Naona jua linazama na niwakati ambao kwetu sisi upendo kwa wanawake unaongezeka maradufu.
Tuna wimbo unaimbwa hivi" ne mdala wangu nikupali sana hasa palihere lyuva" ukimaansa 'mke wangu nakupenda sana hasa jua linapozama''!!!!

yaani nimeingia mbio nikajua ni wagoni kumbe wangoni duu MMU inabidi utulie sana..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom