Wangoni na wamatengo waogopeni

Kwa Viuno hao Hawajambo! Nawakubali Sana Wangoni na Nina Bahati Nao Kweli ila tu Akikukpenda Usimsaliti Kwani Visasi Vyao VINAUMA KWELI! Ni Wataalam pia Wa Kulia Kimahaba na Wanachangamsha Mno Kitandani.

Wewe jamaa upo sahihi 100%. Imenikuta hyo,nimemsaliti demu wa kingoni.. Aiseee!! Nimejuta,kanidhalilisha,kanitia aibu haswa.. Kaja kwangu bila kitu chochote lakini nilishangaa familia yao ilipodai kuwa amechuma kila kitu na mimi,mara ananidai milioni 1,mara wakaanza kupiga simu upande ulionifanya nimwache kuwa wasimruhusu bint awe na mimi kwa 7bu bado hatujagawana mali. Nilifadhaika sana,tena sana! Wangoni watu wabaya sana! Wafupi lakin wana visasa vya kinyama,hawakubali yaishe hv hv,nahc wanaweza hata kukuroga uzazi wale!
 

Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?

mkuu ujumbe wako unasomeka " mngoni ukimpa pesa zitafika UKIMPA MKE IMEKULA KWAKO" je kuna kabila hapa duniani ambalo ukimpa mke anamuangalia tu!!! Mimi sio mngoni lakini ukinipa mwanamke ninamega tu si umenipa?
 
Wangoni kwa mdudu a.k.a ktimoto ni balaa. Kila bar ya komon au myakaya lazima pembeni kuwe na bucha la mdudu.na mishkaki ni mia 2 tu(hapo kilabuni kuna wimbo unapgwa"niwuka lepa hadi nimale ugimbi_siondoki hadi pombe iishe) hyo inaenda hadi sa9 usiku[/QUOTE

..haiwezekani, haiwezekani, maji kupanda mlima
 
Hahahahaaaa nimekaa Songea miaka 3 hawa jamaaa hawana noma na mtu yaani ni full amani. Ila du pale kati wanapakubali usipime na dada zao hata sio wachoyo kiivyo. Kwa ufupi ni wakarimu wakutosha.
 
Hahahahaaaa nimekaa Songea miaka 3 hawa jamaaa hawana noma na mtu yaani ni full amani. Ila du pale kati wanapakubali usipime na dada zao hata sio wachoyo kiivyo. Kwa ufupi ni wakarimu wakutosha.
Kina dada wa kingoni usipime!
Kwanz ni wazuri halafu wanaweza majamboz
Mwisho wamesheheni kila idara......... si kama dada zetu wapalestina!!
 
wala hakuna tofauti wote niwa moja wewe tu na roho yko

umesahu pia tuna sifika kwa utamu

Ni kweli.ila tatizo lenu hamjui kukataa niliishi songea miaka karibu 8 daa wadada wa Songea ni balaa tena wamatengo unashika mkono tu hutongoz.i ni maji mara moja
 
nimeoa mngoni ni mkarimu Sana na mchapakazi Sana ni sifa ya kwanza nilizipenda kutoka kwake
 
Back
Top Bottom