Wangoni na wamatengo waogopeni


Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?

mbona ni ngoni pekee hao wamatengo wako wapi mjomba maana thread imekuwa dominated na ngoni.sijaona wakizungumzia wamatengo
 
Wangoni kwa mdudu a.k.a ktimoto ni balaa. Kila bar ya komon au myakaya lazima pembeni kuwe na bucha la mdudu.na mishkaki ni mia 2 tu(hapo kilabuni kuna wimbo unapgwa"niwuka lepa hadi nimale ugimbi_siondoki hadi pombe iishe) hyo inaenda hadi sa9 usiku
 
Pia tunapenda ushirikiano sana" msengwile valongo zangu¤2,navina kumanya ahee,ngati chama cha bwina" ikhmaansha ahsanteni ndugu zangu,sikua najua kama undugu ni mzuri' huo wimbo huwa unaimbwa wakati wa sherehe baada ya kufupa/kutuza:

Undugu huo ena..undugu ena undugu ena..undugu kusaidiana ena , undugu kupendana

Ah huu wimbo wa sengwili umenikumbusha harusi ya kaka yangu mmoja si unajua tena tulitambaa kwa magoti kuwashukuru watu na mc alikuwa mngoni ah hadi raha
 
Wangoni kwa mdudu a.k.a ktimoto ni balaa. Kila bar ya komon au myakaya lazima pembeni kuwe na bucha la mdudu.na mishkaki ni mia 2 tu(hapo kilabuni kuna wimbo unapgwa"niwuka lepa hadi nimale ugimbi_siondoki hadi pombe iishe) hyo inaenda hadi sa9 usiku

Ah hapo unaambiwa haiwezekani mpaka nimale ugimbi
 
Aisee nimefurahi kweli ya.ni hii post imenikumbusha mbali..nashukuru Mungu kuwa mngoni..

Kaka zangu wangoni monili..ingawa mim ni mngoni wa dot com ila najifunza lugha kidogo kidogo

utawajua kwa majina yao tuuuuuu
 
Back
Top Bottom