Wangoni na wamatengo waogopeni

Wangoni na wamatengo waogopeni


Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?

Usituletee za kuleta hapa, na hao wanawake ambao unadai huwa hawafiki salama wanakuwa wa kabila gani...??? Ndola kumihu ko, keta mene...
 
Aah wapi mdingi wangu tu akifa anazikwa kinondoni walipozikwa wazazi wake ndo sembuse mie.....ila am proud to be ngoni....huwa sifichi kabila langu km wazaramo na makonde ht km sijui kingoni....

same to me mdau,sipajui songea na my dady hakua akipajua bt kabila langu huwa nawambia watu
 
Ni Wakatoliki wazuri lakini kwa visasi na ushirikina ni mwisho

Heee...kweli dini wanapenda sana...na kuimba nyimbo za misiba kuna jirani yangu hapa binti ya kingoni..anatishwa kwa uongo mpaka uwa najiuliza hivi huyu binti mngoni kweli. Mpka nikawa naogopa kusema me mngoni..
 
Kwa Viuno hao Hawajambo! Nawakubali Sana Wangoni na Nina Bahati Nao Kweli ila tu Akikukpenda Usimsaliti Kwani Visasi Vyao VINAUMA KWELI! Ni Wataalam pia Wa Kulia Kimahaba na Wanachangamsha Mno Kitandani.

hahahahhaaha,huu unaitwa USHUHUDA,,,,,
 
Wangoni tunawapenda sana wake zetu hasa jua likizama
"ne mdala wangu nikupali sana hasa palihele lyuva'' ikimaanisha"mi nakupenda mke wangu sana hasa jua linapozama"
 
Pia tunapenda ushirikiano sana" msengwile valongo zangu¤2,navina kumanya ahee,ngati chama cha bwina" ikhmaansha ahsanteni ndugu zangu,sikua najua kama undugu ni mzuri' huo wimbo huwa unaimbwa wakati wa sherehe baada ya kufupa/kutuza:
 
Back
Top Bottom