Wangoni na wamatengo waogopeni

Wangoni na wamatengo waogopeni

"Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?"

Mawazo hayo ni ya kijima na inastaajabisha kuona yakitolewa na mgagagigikolo anayeishi katika karne hii ya dijiti!! pia inashangaza na kufurahisha sana. yaani wangoni wakware zaidi kuwapita hata wapare? wamwera na wahaya!!!
 
Wangoni walezi Wa wana....
Na asilimia kubwa ya wanawake wa kingoni wao ndio wanalea wanaume katika kila kitu...wanaupendo Wa hali ya juu...
 
siri ya mtungi ajuaye kata................ funguka mtani

Najuta kumla mngoni nilifahamiana nae ndan ya ck moja nilimla zaidi ya mara saba kwa ck mbili akaondoka nililia kama mtoto tam yake ilikuwa tam sn
 
ila wamalaya sanaa nao kama warangi vile na wanyakyusa
 
Yani najivunia kuwa mngoni halisi,na nashukuru wazee wangu hawakuwa wavivu kutupeleka kwetu na kujua historia ya kwetu na vizazi vilivyopita.kwa mngoni mwenye kitabu cha asili ya wangoni pm.shangazi yangu alikuwa nacho lkn sina hakika kama bado anacho.nitauliza na kama kitakuwepo nitaleta mrejesho hapa kwa mngoni atakayehitaji nitamtolea nakala bure.
 
Kugenda ne kilu kilu kwa ajili yakuu, ja masoba bamatengu wa kundima
 
Mambo ya lizombe hayo. Hususan kwa wale jamaa wa Litembo.

Namkumbuka hapa mzee wangu Dr Njako au Mzee wangu Maj gen Lupogo. Enzi hizo kwa Dr waya pale Peramiho.

Hongera sana

Nepane wakindimba namanya boa
 
ila wamalaya sanaa nao kama warangi vile na wanyakyusa

Ule msemo wao "kunnyima ntu zaaambi" mmmmmh basi wanagawa tu. Ukiwaalika 10 kwenye sherehe wanakuja 40 na vitoto kibaoooo. Take care...
 
Back
Top Bottom