mugendili gendili hapa muhikili
Vahiki chakaka mlongo kotokayi.
mugendili gendili hapa muhikili
Usituletee za kuleta hapa, na hao wanawake ambao unadai huwa hawafiki salama wanakuwa wa kabila gani...??? Ndola kumihu ko, keta mene...
Sasa hapo umeniacha mbaliiii...me mngoni wa daslaaam....born here here
Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?
Wangoni vandu vabwina sana. Wenga tu uvi na matatizo gako,
Hahahaha tafuta twisheni ya chakunyumba Dada.
Hivi wangoni ndio hawa palipali kwa mfaranyaki nyumbi hii bumbii hii? Kama ndio hao jamaa wanapenda walipotokea sana!!
Usilogwe kuwekeza upendo wako kwa mngoni, ukifanya hivyo kujuta ni lazima.
Wa kike au wa kiume?
Sasa hapo umeniacha mbaliiii...me mngoni wa daslaaam....born here here
exactly MDAU,WANGONI HAWANA BIFU NA MTU BHANA,,,,,WALA MAJIVUNO,,,,
Nimewah kukumbana na kadhia za kuambiwa hivyo na mabint kwa mara kadhaa ila nadhan ni mitazamo yao,kama wangoni wana maringo WAHAYA wananini?Mil10 ya Mboga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Tatizo la wangoni Wanamalingo sana..
Nitatafuta kwakweli...
Tatizo la wangoni Wanamalingo sana..
Ha ha ha ha,umenena mdau japo Sikununu anasema wangoni wanamaringoNimefurahi sana kuwaona wakunyumba wenzangu. Wangoni oyeee. Kabila la wapenda usafi.
Usilogwe kuwekeza upendo wako kwa mngoni, ukifanya hivyo kujuta ni lazima.