Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Kwenye kuchagua wake tunakumbushwa na wimbo huu(ngati wigana mdala aaah,tola mdala wa bwina¤2,akoto kuyiva mayao kwa mgunda wa vandu) ikimaanisha,kama unataka mke chagua yule mzuri asije akaiba mihogo shambani mwa watu. Ntarudi ngoja nkamchek kapuya