tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,422
Kina dada wa kingoni usipime!
Kwanz ni wazuri halafu wanaweza majamboz
Mwisho wamesheheni kila idara......... si kama dada zetu wapalestina!!
Oyoooooooooooooo
Proud to be
Kina dada wa kingoni usipime!
Kwanz ni wazuri halafu wanaweza majamboz
Mwisho wamesheheni kila idara......... si kama dada zetu wapalestina!!
nimeoa mngoni ni mkarimu Sana na mchapakazi Sana ni sifa ya kwanza nilizipenda kutoka kwake
hata mimi nimeoa mngoni ana sifa kama hizo ulizozitaja ila ana wivu
Ha ha ha!Oyoooooooooooooo
Proud to be
Ha ha ha!
Ni PM basi nijihakikishie wallahi!!!
Ha!!!Nke wa ntu.mieeee😕😕🙄🙄🙄
ha!!!
Kwani nongwa?
Kla ntu anaondoka na vya kwake!!!!!!:lol::lol::lol:
Pia tunapenda ushirikiano sana" msengwile valongo zangu¤2,navina kumanya ahee,ngati chama cha bwina" ikhmaansha ahsanteni ndugu zangu,sikua najua kama undugu ni mzuri' huo wimbo huwa unaimbwa wakati wa sherehe baada ya kufupa/kutuza:
Nenga wa kunyumba pia, wa ku peramihoYeuuuwiii kumbe we wa kunyumba Mwenzangu. ...
Vangoni vajovelahi kuhongana, kazi yingi viweza lepa. Kilu kilu kuhongana , vandu vihongana jamani kusongea, hadi lukela ukapita mumagesti huyuwana sauti ya mdala ijova homola uti nikatundi makocho.




duuh, linda nimalaoti ugimbi lukelahii nikilauka kunyumba. Labda Jenista mhagama maarufu katika kikokotozi pia JokateHivi ukitoa bambo comedian ni mtu gani mwingine wa ruvuma ambaye ni maarufy Tz? Kwa tasnia yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh wenga kuhongona vihongana makabila yowa bambu koto kutukongaVangoni vajovelahi kuhongana, kazi yingi viweza lepa. Kilu kilu kuhongana , vandu vihongana jamani kusongea, hadi lukela ukapita mumagesti huyuwana sauti ya mdala ijova homola uti nikatundi makocho.
sawa
Naona mmefukua makaburi (uzi)Naona Wangoni mnangonika tu!👏👏👏👏😂😂😂😂😂
Ibesa mau!Vangoni vajovelahi kuhongana, kazi yingi viweza lepa. Kilu kilu kuhongana , vandu vihongana jamani kusongea, hadi lukela ukapita mumagesti huyuwana sauti ya mdala ijova homola uti nikatundi makocho.