Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

Kwahio wewe unaona sawa kuwa mchepuko ila kuolewa bomani au style ingine sio sawa?
 
Yeah kwa JF nawaelewa, hamna hata mmoja angeolewa kwa pesa. You are all very perfect decent ladies.
Pasua kichwa, inawezekana kabisa hela tungezipenda; lakini mwingine angekataa tu kwa sababu ya age difference n.k
 
Nyie wanawake mnavyotumbua mimacho yenu mkiona mtu anashuka kwenye vits mnatamani akutongoze, Kupewa vocha ya buku kila siku tu mnapanua, wengi mmeolewa kwa kuacha chupi kwanza baadae kanga baadae heleni kisa mwanaume ana kazi.
Mawazo ya kimaskini wanafikiri mzee kamwacha Jack na watoto kizembe kama familia za uswahilini.
 
Pasua kichwa, inawezekana kabisa hela tungezipenda; lakini mwingine angekataa tu kwa sababu ya age difference n.k
nakubaliana na wewe, huyo ambae angekataa hela kwa sababu nyingine huku mtaani sijamuona. Jf najua mpo wengi, almost wote.
 
Muda wa kufuturu agiza juice ya tende nitakuja kulipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…