Hivi Agon alikuwa kwenye hiki kitabu au ni kile cha Mashimo ya Mfalme Suleiman?
Yaani umenikumbusha mbali. Nilijaribu kwenda kwenye maduka ya vitabu nyuma ya Samora Avenue lakini sikuvipata ila nilipata vya Someni bila shida vile vya Karume kenge na vile vya Hekaya za Abunuwasi. Mshana jr. sijuhi kama anacho ningemuomba wakati anatembeza ulozi wake anipitishie kwenye ungo wake. Zamani tulifaidi sana. Unasoma, unaelewa kusoma at the same time unaburudika na hadithi nzuri siyo zile za Brown ashika tama.Kuhani Mkuu Agon alikuwa kwenye kitabu hiki, pamoja na yule jemedari Nasta aliyekuwa akimpenda Malkia Nyleptha lakini akaingiliwa na Sir Henry Curtis kwenye mapenzi hayo....kwenye kile kitabu kingine yaani Mashimo ya Mfalme Suleiman (king Solomon Mines) kulikuwa kile kizee Gagula halafu Umbopa ambaye baadaye alitawazwa kuwa mfalme...ni vitabu vizuri sana vyote viwili..
nakiombaNinacho hiki kitabu.
Ngoja nikisome tena.
Yaani umenikumbusha mbali. Nilijaribu kwenda kwenye maduka ya vitabu nyuma ya Samora Avenue lakini sikuvipata ila nilipata vya Someni bila shida vile vya Karume kenge na vile vya Hekaya za Abunuwasi. Mshana jr. sijuhi kama anacho ningemuomba wakati anatembeza ulozi wake anipitishie kwenye ungo wake. Zamani tulifaidi sana. Unasoma, unaelewa kusoma at the same time unaburudika na hadithi nzuri siyo zile za Brown ashika tama.
Makumazahn
Bila kumsahau mfalme twala na yule bint faulata na ignousKuhani Mkuu Agon alikuwa kwenye kitabu hiki, pamoja na yule jemedari Nasta aliyekuwa akimpenda Malkia Nyleptha lakini akaingiliwa na Sir Henry Curtis kwenye mapenzi hayo....kwenye kile kitabu kingine yaani Mashimo ya Mfalme Suleiman (king Solomon Mines) kulikuwa kile kizee Gagula halafu Umbopa ambaye baadaye alitawazwa kuwa mfalme...ni vitabu vizuri sana vyote viwili..
Mi namkumbuka.View attachment 403987na shoka lake la inkos-kaaz
(Umsolopagazi na inkosikazi)
Bila kumsahau mfalme twala na yule bint faulata na ignous
Hahaha mambo ya sitanda kraah na ngoma ya usiku umbopa alikwenda kibahati bahati tu na aliunganishwa na safari jioni moja kabla ya kuondoka uzuri marehemu mama yake alimwambia ile alama kiunoni pake ilikuwa ni nembo ya utawala na yeye na mama yake alikimbia kule baada ya twala kutaka kuwauwa na ignous alikuwa ni baba yake mdogo ingawa kwa kizungu anatambulika kama uncle.Tehtehtehteh...nimecheka sana, inaelekea vijana wa zamani mnakumbuka Enzi zenu....Hivi hebu niambie lile kabila la Wagagagigikoko lilikuwa linasimuliwa katika kitabu gani vile??