Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,676
- 19,819
Mkuu fanya kunimention kwenye hiyo link ya kitabu.. Tafadhali mkuuKwanza nikushukuru mkuu for taking your time to respond on this. Pili kuhusu age worry not coz kama ni mmoja wa wapenzi wakubwa wa vitabu vya akina Umsolopagaas basi jua mvua kadhaa zimenipitia. Tatu nashukuru pia nimeshakipata hicho kitabu humu kuna member amekiweka hapa, asante.
Mchawi huyu, leo yupo zamuHivi wewe Alan Quaterman hulali au ndo umetoka kwenye ungo?
Je ni true story au za kubuni?View attachment 403987na shoka lake la inkos-kaaz
(Umsolopagazi na inkosikazi)
Naomba kwenye link ya soft copy ya PAPILON.@ all book readers.
Asante mwambadogcheck soft copy nimeweka hapo