Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,445
Enzi zetu (1947), mambo kama hayo tuliyaita BANGI AU Gongo la Mwanza (linalotokana na kutapisha vyoo)!
Kama wanafikiria hayo mambo kwa nini wasifungue biashara hapo home au wakapanga nyumba kabisa ili watengeneze mafweza?
Naona wanataka kuoga tope kwa kutumia maji taka!
Heri ya Mwaka Mpya Maj Gen. DC:
Kulikuwa na baa(grocery) moja Sinza inamilikiwa na familia - Waitress alikuwa ni mwanamke na Kaunta mwanaume - Mwanamke alikuwa anajiachia kwa wanywaji ili wamtongoze na yeye bila hiana wakimuomba anakubali.
Sharti lilikuwa moja kuwa wanafanya "short time" na ni eneo la karibu na hiyo grocery (palikuwa na uchochoro) - Mkishakubaliana mwanamke anatangulia halafu wewe unafuata - Sharti la pili ilikuwa ni kwamba lazima uvue nguo zote na zinatundikwa kwenye tawi la mti wa karibu - Ile mnaaza "romance" mwanaume anatokea na kukwapua zile nguo zako halafu anaanzisha zogo na kitendo bila kuchelewa mwanamke anakimbia - sasa inabaki kati yako na mwenye mke - Normally alikuwa "anapiga sachi" nguo zako na kuchukua chochote kilichokuwa kwenye "wallet" then anakurushia nguo na kukuamuru utoweke!
Waliwapata wengi kwa njia - that was Open-Closed Relationship