Wangapi wanakubaliana na hili?

Haya maamuzi ni magumu sana kuamua aisee,labda kweli kuwe na kitu kikubwa kinachopelekea hio. Lakini bado nadhani ktk option zote za kuchagua tiba ya tatizo la mbaba anayetoka nje ya ndoa. Hii itakuwa ngumu zaidi.
 
nadhani hawa wamegundua hayo manane watu hawayatilii manani enzi hizi...
sasa wenyewe wameamuaku kuweka wazi kila kitu kuliko kuibia ibia lol

Wasijeingilia tu workers wa ghasia na hizi murder wanazotarajia kuzalisha... Atawafunga ndani!
 
kuna vitu vingine tunaona kwenye nchi nyingine wana practice wanaona ni sawa i think talking about open relationship kuna siku i was watching kipindi cha oprah winfrey show sasa jada pinkett na will smith wali claim kuwa they have open relationship swali langu la kwanza kujiuliza ilikuwa je hao watoto how do they cop with the fact that both mum and dad can have romantic or sexual relationship with additional people.

Dah!!1 hii kitu ngumu sana kwangu

nadhani kwa watu kama Will na Jada wao wamefanya hayo kwa ajili ya kazi zao (acting)
lakini kwa kweli umeongea ukweli kabisa hapo kwa watoto..
mmmmmhhh kuna hatari sasa we unadhani ni borea hii open relationship au divorce?????
 
Haya maamuzi ni magumu sana kuamua aisee,labda kweli kuwe na kitu kikubwa kinachopelekea hio. Lakini bado nadhani ktk option zote za kuchagua tiba ya tatizo la mbaba anayetoka nje ya ndoa. Hii itakuwa ngumu zaidi.
mmhh asante kwa maoni yako
na heri ya mwaka mpya LD
 
OK - Nimeelewa

Unaporuhusiwa ku-do nje hainogi! Then ile "raha" ya kutoka nje itakuwa haipo!

hahaahahh lol
BE wewe umenichekesha kwa kweli..
kwa hiyo ile ya kuibia ndo tamu lol.....
kuna raha duniani lol
 
Vipi hujazungumzia kuhusu watoto,
vipi hii familia ina watoto au haina ili nitoe gud ans!!!

hawa maisha yao ya ndo yalikuwa magumu sana
kwasababu baba alikuwa anatoka nje ya ndoa sana
sasa wameamua hii open relationship ndo solution maana hawataki divorce.....
 
nadhani kwa watu kama Will na Jada wao wamefanya hayo kwa ajili ya kazi zao (acting)
lakini kwa kweli umeongea ukweli kabisa hapo kwa watoto..
mmmmmhhh kuna hatari sasa we unadhani ni borea hii open relationship au divorce?????

Bora ijulikane moja kuwa mme-divorce kuliko kuwa na open relationship ambayo kwangu mimi isn't safe either no matter what this issue is so complicated mpaka mfikie makubaliano ya kuwa na open relationship damn the two of you lazima kuna kitu hapo ambacho hakiendi sawa
 
kwa kweli hata mi na dhani ukweli divorce is the answer.....
hapo umenena....
mmmhh lakini uzuri kuhusu hili ambao wenyewe wanauona ni watoto wanakuwa pamoja na baba na mama..
 
Hiyo ni mbaya zaidi hailet gud IMAGE kwa watoto!!
kungekuwa hakuna watoto the gud solution ni DIVORCE!!
Ni hayo 2!!

hahahahah lol nilikuwa nasubiria paragraph ya maneno ka mia hivi lol...
lakini sasa we unadhani open relationship ndo jibu ka unawatoto???
 
Engineers ha2na maneno mengi,ingekuwa calculatins ningejaza!!
OPEN relationship ni mbaya zaidi hailet gud IMAGE kwa watoto!!
So kinachotakiwa waweke tofauti zao pemben NDOA iendelee!!
Wasameheane!!!

haya sawa kabisa....
wamesameheana lakini wameongea na wemelewana kwa roho nzuri kabisa
kwamba hii ndo solution nzuri.....
kwa ndoa yao.....
 
Back
Top Bottom