Wangapi wanakubaliana na hili?

kwa hiyo we unakubaliana na hili au la??

Hapana sikubaliani na hiyo dhana ya mahusiano huria. Nilichomaanisha ni kwamba naheshimu sana watu walio wakweli kwa nafsi zao na wenzi wao pia.

Uko kwenye ndoa na unaapa unampenda mumeo lakini una mahawara nje na unafanya siri. Unamdanganya nani sasa?
Sasa kama kuna watu wawili ambao wameridhia kuwa na mahusiano na watu wengine kuna ubaya gani hapo? Hivi unajua kuwa kuibia penzi ni stressful sana? Maana kwanza lazima uwe muongo halafu lazima uwe na kumbukumbu nzuri ya kukumbuka uongo wako. Pia utakabiliana na dhamiri yako inayokusuta na kukuhukumu. Hayo na mengine ni stress tu. Lakini mtu ukiwa mkweli ni raha tupu.
 
asante sana mkuu hapo umeongea cha maana sana ...nani ukweli mtupu ...
The Following User Says Thank You to Via Mobile For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
Ananitafutia wapi? Hebu leta link...tangu nikukague nimepata mkosi wa kukagua. Siku ile uliogea magadi?
Na huu mkosi acha ukupate tu hahah ......kisa cha kukagua wake za wenzio hahah
 
kiini cha tatizo ni kwamba mama aligungua baba ana toka nje ya ndoa yao...
kwa vile mama bado anampenda baba ...
ndo aka suggest hii open relationship ili awe free..
na baba akakubali ...
kwa sababu baba naye anadai anampenda mkeo..
Ukiona hivyo ujue mmoja anampenda mwenzie zaidi kuliko mwingine.
Na hapa kuna mtu ana-bank kwenye hiyo weakness/love blindness
 
VM wasema ukweli na waaminifu wamebaki wachache sana, wanahesabika hahahhhhhh
 
hahahah lol
kwa kweli wajukuu wengine wa kiume watafurahi sana kusikia
mpinzani mkuu kajitoa....
chance zao zimeongezeka...
Nilikwambia TF ni penpal wako ukasema kakubali ushirika leo kakukana,unajuwa wanaume wote ni aina ya wanyama,simba dume akikutana na simba jike mwenye watoto anawauwa wote ili amzalie wake. TF na wanaume wote hawawezi kukubali ushirika kwa mwanamke wao THAT'S A FACT!
 
mmmmhhh jamani uporoto ni ukauzi tu hakuna kingine....
na si wake za watu..
mmmhhh itabidi uongee na babu ili akujulishe zaidi lol
 
Ni kheri uwe na mwenza aliye mkweli kuliko aliye muongo na mnafiki anayecheat halafu akirudi nyumbani anakwambia anakupenda.

Na hali halisi ya mambo ni kwamba matumizi ya mipira ya kinga huwa ni magumu sana hasa pale mtu anapojihusisha na mtu mwingine kwa zaidi ya mara moja. Hivyo, mwenza muongo uwezekano wa yeye kutokutumia kinga ni mkubwa sana. Anaweza akakuletea magonjwa kama kisonono na kaswende kisa udanganyifu na unafiki wake.

Wenza walio wakweli kwa namna yoyote ile waamuayo kuishi maisha yao wanazo heshima na pongezi zangu zote!!!
 
Back
Top Bottom