Hahahahaaa what a memory! Waliochelewa hapo wamejibanza pahala
Unajibanza ili ticha asikuone lakini jioni una namba si unajua vinavyowahi namba ni la pili na wanatoka saa tano hivyo namba ikiitwa mara mbili hajatoka mtu unatoka wewe, ngoja mtoke watatu kwa namba moja ndio kazi ipo hapo kila anayeulizwa wewe hiyo ulipewa na Mw. nani kimya hapo ndipo utakapojua Mw. Mabangi ni nani na Mw. Train ni nani (majina ya utani) mkitoka hapo mnapigana wewe kwa hukuniacha nitoke mimi.

Heeeeshiiimaaaz toaaaaa....!!!!!
Umenikumbusha siku hiyo tupo mstarini tunaimba wimbo wa taifa akapita kijana barabarani basi mwalimu akamvagaa kuwa anatakiwa asimame kumbe kijana ana nguvu yani mwalimu wetu alipokea kichapo cha kufa mtu
Kuliaaaa geuka, jitu linageuka kushoto, hata mkono wa kulia haujui, jamani yote kwa yote tuwaheshimu saaana walimu maana mengi wametufundisha
heshimaaaa toaaaaaaaa.
" shkamooooooooo mwaaalimuuuuuuu"
-> marahabaa hamjambooo?
mmelalaje?
Shikamoooooooo mwalimuuuuuuu
Mungu ibariki....! Dah unanikumbusha zamani wakati nipo Chamwino Primary- Morogoro, aisee ni noumaaa,
Hapo bado kuitwa majina na ile style ya jana na Leo! Nakumbuka siku moja nilifanya maskhara nikasema juzi na kesho! Kilichotokea sitakaa nimtanie mwalimu mgeni tena