Wangapi mnaona dola ikielekea juu ya dari kama mimi?

Sisi bipaumbele vyetu ni kukamata mbowe na kuua upinzani. Ile vita ya kiuchumi anayoisema mkuu ni kama vile hamaanishi mbona lisu kapijwa risasi leo hii nchi iko vilevile hakuna kilichoongezeka shwaini
Mbona Kenya na Uganda zipo stable kwa sasa na shilingi zao zinaimarika dhidi ya dola?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1008116

Nilitamani kuweka hichi kitu siku nyingi ila jana nimenunua dola kwa Sh 2325 nikaona hapana itabidi niweke ili bandiko la utafiti kidogo.

In short ni kwamba dola ipo kwenye kipindi muhimu sana kwa sababu huu ni wakati ambao inakuvuka highest high ya mwaka 2015 wakati rate ilipokuwa kwenye 2335 na kuvuka huku kuna maana moja kubwa sana kwangu kwamba 'Banki kuu haina nguvu tena ku stabilize the exchange rate in the economy' (in my OPINION)

Kipindi cha nyuma mwaka 2015 baada ya dola kufika around 2335 kama unavoona kwenye chart hapo juu, Banki kuu ilikuwa na mabavu ya kuongeza supply (ujasi) wa dola kwenye uchumi kutoka kwenye reserve ambayo ili hit moja kwa moja kwenye mabenk ambayo automatically ikashusha bei ya dola kwa momentum ambayo ni kubwa mpaka kwenye level ya 2000 kwa dola moja mwanzoni mwa mwaka 2016.

Unaweza ukashangaa nguvu hiyo imepotea vipi kwa wakati huu, kwanini wasifanye kama kipindi cha nyuma? its simple kuna mambo yafuatayo

1) Japo ni kweli kwamba Banki wanaweza kuwa na reserve ya dola ila wanakosa uthubutu kwa wakati huu kwasababu moja kubwa -- kuna uncertanties kubwa mno kwa sasa inayotishia inflow ya dola kwa wakati ujao. So automatically Bank kuu hawawezi kuthubutu kumwaga supply ya dola kwenye uchumi ili kuimarisha shilingi maana kufanya hivo ina maana wanajiweke kwenye hatar ya kukausha foreign reserve ya nchi which is dangerous kwa kipindi hiki. Ukikaukiwa dola halafu una external debt ipo kwenye dola maana yake unaiweka shillingi yako rehani coz itabidi uishushe zaidi ili uattract inflows za dola ambayo inaweza kuwa janga kubwa mnoo.

2) Ujasi wa fedha (TZS) kwenye uchumi bado sio wa kuridhisha namaanisha (money supply growth kwa kipindi hiki bado ipo kwenye record low.. so any attempt ya kuongeza dolla kwenye uchumi inamaana bank kuu watabidi kununua shillingi iliyopo kwenye uchumi ili dola iweze kuingia kwenye mzunguko na rate iweze kushuka.. But kulingana na hali ya uchumi ya sasa hivi, kupunguza supply ya shillingi maana yake ni kupunguza money supply growth ambayo directly inaenda ku hit ukuuaji wa uchumi kama tulivolalamika mwaka 2017 (utasakia laymen wanasema Magu kabana kumbe ni kwamba ujasi wa fedha haukui kwenye uchumi kama ilivokuwa kipindi cha nyuma)

Kuna issue nyingine kama
- Ukuuaji wa deni la taifa la nje by now ni kama USD 24 billion hivi... hii nayo inachangia pakubwa kuzorota kwa shillingi nazani ntajipanga next time kuelezea kwenye mada yake (mzozo wa madeni unaonukia Tanzania)
- Kuna issue ya nakisi katika account ya biashara .. na moja wapo ya mambo yanayosababisha hata issue pia ya korosho ipo maana imagine kama nchi ilikuwa ina uhakika wa kupata USD zaidi ya million 500 kila mwaka halfu automatikally haipo tena. (Hata hii ni sababu kwanini nimeona kwamba miaka mitatu ijayo dola inaweza kuwa zaidi ya 2500

Kwa hali ilivo hakuna matumaini hii dolla kwamba itakaa ishuke tena. It seems Banki kuu kama wamesalimu amri. Tegemeo lao pekee ni kwamba inflation ipo bellow 4% na hiyo inatokana zaidi na stabilization ya bei ya chakula.

Na tuzidi tu kuomba Mungu inflation inendelee kuwa hapa ilipo.. Ikianza kupanda na huku shilingi inaporomoka nadhani tutatafutana mpaka chini ya uvungu. Hao tunaowaita mabeberu nao nadhani hii point wanaingoja sana ifike. (Wale watu washenzi wewe usione wamekaa kimya)
uchambuzi mzuri ila tusubili wakina polepole waje na ubao mweupe na makapeni wajadili uchumi
 
Kwa hii habari ya dola iko siku hata walioko usweken huko watakuelewa kwa ukweli uliozungumza! Maendeleo ya uchumi hayajawahi kupatikana kupitia majukwaa ya kisiasa.
 
Inaelekea 3,000. Sijui kuna nini
 
Leo hii nimeambiwa nitume invoice na client wangu mmoja anilipe ASAP. Analipa creditors wake na anahamia Rwanda (biashara yake hapa inafungwa). Mount Meru (Oil company) nao wame-relocate biashara yao kubwa Rwanda. Jiwe hajui alifanyalo.
Ooohh ndio maana majuzi nikiwa naenda kanda ya ziwa nimekutana na tankers nyingi sana za Mount Meru zikielekea Rwanda..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia waliweza ku Stablize kwa sababu wao wana Export mno Ges na mafuta na Natural resources zingine.

sisi sijui kama tuna expoer ile Gesi ya Mtwara hata

Sent using Jamii Forums mobile app
Gesi ya Mtwara wazungu wamefunga operations zao wamesepa..

Wamebaki M&P ambao wanahudumia visima vitatu vinavyozalisha umeme Mtwara na Lindi pamoja na gesi inayokuja Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umejitahidi kuweka vizuri na kwa lugha rahisi, lakini sasa sisi waelewaji naona changamoto bado, asante sana mkuu
 
Ili kuboost utalii, madini, kilimo (pamba etc) na mifugo na kuleta forex earnings, ni vizuri serikali ijenge barabara ya kiwango cha lami itakayo unganisha Karatu na Mwadui moja kwa moja (kupitia kaskazini mwa ziwa Eyasi).

Barabara hii inatoka mji wa Ngorongoro inapitia Kakesio then Banyu (in Maswa Game Reserve) then Banyu tena (after Maswa Game reserve) then Lalago (karibia na Mwadui; kwenye main road ya Mwanza na Musoma).

This road is approximately 180 kms.

Ni vizuri Hazina na TANROADS waiweke barabara hii kwenye bajeti ya mwaka huu wa 2019/2020.
 
Back
Top Bottom