Wangapi mnaona dola ikielekea juu ya dari kama mimi?

Wangapi mnaona dola ikielekea juu ya dari kama mimi?

mfuatilie huyu mleta uzi nina hakika na wewe utauliza swali kama hili
Mfichaficha maradhi, kilio humuumbua! Hayo ndiyo matokeo ya kujikita katika kutetea ujinga.

Naantombe Mushi, kazinduka usingizini akakuta gari linaondoka na hizi ni juhudi tu za kulikimbiza, tatizo kasahau hata kuvaa nguo za ndani.

Wanaomuona akitimua mbio wanadhani chizi kumbe kuna wakati heri fedheha kuliko utumwa.
 
Mfichaficha maradhi, kilio humuumbua! Hayo ndiyo matokeo ya kujikita katika kutetea ujinga.

Naantombe Mushi, kazinduka usingizini akakuta gari linaondoka na hizi ni juhudi tu za kulikimbiza, tatizo kasahau hata kavaa nguo za ndani.

Wanaomuona akitimua mbio wanadhani chizi kumbe kuna wakati heri fedheha kuliko utumwa.
nimejikuta nacheka sana !
 
Back
Top Bottom