Wangapi mnaona dola ikielekea juu ya dari kama mimi?

Russia waliweza ku Stablize kwa sababu wao wana Export mno Ges na mafuta na Natural resources zingine.

sisi sijui kama tuna expoer ile Gesi ya Mtwara hata

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na ku-export mno gesi lkn haikusaidia bado sarafu yao imeporomoka na bado tu itazidi kuporomoka kwa sababu uchumi sio tu ku-export gesi.

Sisi gesi yetu makampuni mengi yalisitisha uwekezaji baada ya hii serikali ghafla kubadili gia angani kwa kubadilisha sera wakidai kutaka "Win Win Situation", hivyo bado wako kwenye majadiliano.
 
View attachment 1008116

Nilitamani kuweka hichi kitu siku nyingi ila jana nimenunua dola kwa Sh 2325 nikaona hapana itabidi niweke ili bandiko la utafiti kidogo.

In short ni kwamba dola ipo kwenye kipindi muhimu sana kwa sababu huu ni wakati ambao inakuvuka highest high ya mwaka 2015 wakati rate ilipokuwa kwenye 2335 na kuvuka huku kuna maana moja kubwa sana kwangu kwamba 'Banki kuu haina nguvu tena ku stabilize the exchange rate in the economy' (in my OPINION)

Kipindi cha nyuma mwaka 2015 baada ya dola kufika around 2335 kama unavoona kwenye chart hapo juu, Banki kuu ilikuwa na mabavu ya kuongeza supply (ujasi) wa dola kwenye uchumi kutoka kwenye reserve ambayo ili hit moja kwa moja kwenye mabenk ambayo automatically ikashusha bei ya dola kwa momentum ambayo ni kubwa mpaka kwenye level ya 2000 kwa dola moja mwanzoni mwa mwaka 2016.

Unaweza ukashangaa nguvu hiyo imepotea vipi kwa wakati huu, kwanini wasifanye kama kipindi cha nyuma? its simple kuna mambo yafuatayo

1) Japo ni kweli kwamba Banki wanaweza kuwa na reserve ya dola ila wanakosa uthubutu kwa wakati huu kwasababu moja kubwa -- kuna uncertanties kubwa mno kwa sasa inayotishia inflow ya dola kwa wakati ujao. So automatically Bank kuu hawawezi kuthubutu kumwaga supply ya dola kwenye uchumi ili kuimarisha shilingi maana kufanya hivo ina maana wanajiweke kwenye hatar ya kukausha foreign reserve ya nchi which is dangerous kwa kipindi hiki. Ukikaukiwa dola halafu una external debt ipo kwenye dola maana yake unaiweka shillingi yako rehani coz itabidi uishushe zaidi ili uattract inflows za dola ambayo inaweza kuwa janga kubwa mnoo.

2) Ujasi wa fedha (TZS) kwenye uchumi bado sio wa kuridhisha namaanisha (money supply growth kwa kipindi hiki bado ipo kwenye record low.. so any attempt ya kuongeza dolla kwenye uchumi inamaana bank kuu watabidi kununua shillingi iliyopo kwenye uchumi ili dola iweze kuingia kwenye mzunguko na rate iweze kushuka.. But kulingana na hali ya uchumi ya sasa hivi, kupunguza supply ya shillingi maana yake ni kupunguza money supply growth ambayo directly inaenda ku hit ukuuaji wa uchumi kama tulivolalamika mwaka 2017 (utasakia laymen wanasema Magu kabana kumbe ni kwamba ujasi wa fedha haukui kwenye uchumi kama ilivokuwa kipindi cha nyuma)

Kuna issue nyingine kama
- Ukuuaji wa deni la taifa la nje by now ni kama USD 24 billion hivi... hii nayo inachangia pakubwa kuzorota kwa shillingi nazani ntajipanga next time kuelezea kwenye mada yake (mzozo wa madeni unaonukia Tanzania)
- Kuna issue ya nakisi katika account ya biashara .. na moja wapo ya mambo yanayosababisha hata issue pia ya korosho ipo maana imagine kama nchi ilikuwa ina uhakika wa kupata USD zaidi ya million 500 kila mwaka halfu automatikally haipo tena. (Hata hii ni sababu kwanini nimeona kwamba miaka mitatu ijayo dola inaweza kuwa zaidi ya 2500

Kwa hali ilivo hakuna matumaini hii dolla kwamba itakaa ishuke tena. It seems Banki kuu kama wamesalimu amri. Tegemeo lao pekee ni kwamba inflation ipo bellow 4% na hiyo inatokana zaidi na stabilization ya bei ya chakula.

Na tuzidi tu kuomba Mungu inflation inendelee kuwa hapa ilipo.. Ikianza kupanda na huku shilingi inaporomoka nadhani tutatafutana mpaka chini ya uvungu. Hao tunaowaita mabeberu nao nadhani hii point wanaingoja sana ifike. (Wale watu washenzi wewe usione wamekaa kimya)
Mtaalam wa kodi (Zakayo) anapewa rungu la kusimamia pesa. Tusubiri tuone Zimbabwe nyingine ikitokea Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact
Japo sijui uchumi kihivyo,lkn kwa haya uliyoyaeleza hapa ni kweli
Umeeleza vizuri. Tatizo lingine ni kutotambua maamuzi ya Serikali yanaathiri vipi shilingi.

Mfano, sheria mpya za madini zilizotungwa na nguli Prof. Kabudi zimezika sekta ya madini mpaka imembidi Rais akutane na wadau. Kwa nini hawakukutana na wadau kabla ya kutunga sheria? Madini ni sekta mojawapo inayoingizia nchi $ nyingi.

Mfano mwingine, suala la korosho. Nahisi sasa wameona ni bora kuuza kwa watu nje wapate $ kuliko kukurupuka na kusema kila mtanzania apate kilo mbili.

Ukija kwenye upande wa manunuzi, nchi inafanya projects kubwa (ndege, SGR, Stiegler Gorge, n.k.) kwa kulipa $ upfront. Hizi $ zote zinaenda nje ya nchi na hazitumiki hapa huku uzalishaji wa hizi projects zikichukua muda mrefu.

Mfano mwingine, "kuvamia" maduka ya kubadili fedha za kigeni kunasababisha hata wale wenye shilingi waanze kufikiria kununua fedha za kigeni na kimbilio la kwanza ni $.

Mwezi wa 4/5 dola moja itafika shilingi 2,450.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasahivi 2310.90
Tuombe Mungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kununua dolla ndio iko juu watu wanaosafiri kwenda nje ndio wanaipata fresh. Na makampuni mengi ya kigeni nchini hawatumii dollar siku hizi. Wageni Rent zao wanalipa kwa Tsh. Dollar kuipata imekua kama almasi na ukiwa na dollar nyingi saiv haukawii kuitwa muhujumu uchumi
 
Kweli kabisa
Hapa nataka kununua $ ili nisafiri kila kukicha naona afadhali ya jana!
Hata sijui itakuwaje!

Duh[emoji119]
Kununua dolla ndio iko juu watu wanaosafiri kwenda nje ndio wanaipata fresh. Na makampuni mengi ya kigeni nchini hawatumii dollar siku hizi. Wageni Rent zao wanalipa kwa Tsh. Dollar kuipata imekua kama almasi na ukiwa na dollar nyingi saiv haukawii kuitwa muhujumu uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2014 Ilikua inauzwa kati ya dollar 1 kwa 1400 na 1500
 
Shukrani sana Mkuu Mushi na wachangiaji kwa bandiko maridhawa ambalo limetoa taswira halisi ya hali ya Uchumi wa nchi yetu pendwa. Enzi nasoma "O" level kuna kitabu kimoja kilikuwa kinatumika kwenye English Literature kinaitwa "The African Child". Kwenye hadithi hiyo kijana mmoja ananukuliwa akimwambia mwenzie " If you do not know where you are coming from, you ought at least, to know where you are going"!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukienda bureau nyingine huruhusiwi kununua zaidi ya $5000. Bank nyingine mpaka ujaze form kwa masharti ya BOT. Yan nchi yetu sijui inaenda wapi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimezunguka leo Bureau karibu zote za Posta, naona dola inauzwa 2380... Kama Banki kuu wanajaribu kuweka hizo controls maana yake wanataka ku control outflow ya dola maana for now kuna possibility kubwa ya watu kununua dolla na kuzificha kabisa meaning zitoke kabisa kwenye mzunguko.
 
View attachment 1008116

Nilitamani kuweka hichi kitu siku nyingi ila jana nimenunua dola kwa Sh 2325 nikaona hapana itabidi niweke ili bandiko la utafiti kidogo.

In short ni kwamba dola ipo kwenye kipindi muhimu sana kwa sababu huu ni wakati ambao inakuvuka highest high ya mwaka 2015 wakati rate ilipokuwa kwenye 2335 na kuvuka huku kuna maana moja kubwa sana kwangu kwamba 'Banki kuu haina nguvu tena ku stabilize the exchange rate in the economy' (in my OPINION)

Kipindi cha nyuma mwaka 2015 baada ya dola kufika around 2335 kama unavoona kwenye chart hapo juu, Banki kuu ilikuwa na mabavu ya kuongeza supply (ujasi) wa dola kwenye uchumi kutoka kwenye reserve ambayo ili hit moja kwa moja kwenye mabenk ambayo automatically ikashusha bei ya dola kwa momentum ambayo ni kubwa mpaka kwenye level ya 2000 kwa dola moja mwanzoni mwa mwaka 2016.

Unaweza ukashangaa nguvu hiyo imepotea vipi kwa wakati huu, kwanini wasifanye kama kipindi cha nyuma? its simple kuna mambo yafuatayo

1) Japo ni kweli kwamba Banki wanaweza kuwa na reserve ya dola ila wanakosa uthubutu kwa wakati huu kwasababu moja kubwa -- kuna uncertanties kubwa mno kwa sasa inayotishia inflow ya dola kwa wakati ujao. So automatically Bank kuu hawawezi kuthubutu kumwaga supply ya dola kwenye uchumi ili kuimarisha shilingi maana kufanya hivo ina maana wanajiweke kwenye hatar ya kukausha foreign reserve ya nchi which is dangerous kwa kipindi hiki. Ukikaukiwa dola halafu una external debt ipo kwenye dola maana yake unaiweka shillingi yako rehani coz itabidi uishushe zaidi ili uattract inflows za dola ambayo inaweza kuwa janga kubwa mnoo.

2) Ujasi wa fedha (TZS) kwenye uchumi bado sio wa kuridhisha namaanisha (money supply growth kwa kipindi hiki bado ipo kwenye record low.. so any attempt ya kuongeza dolla kwenye uchumi inamaana bank kuu watabidi kununua shillingi iliyopo kwenye uchumi ili dola iweze kuingia kwenye mzunguko na rate iweze kushuka.. But kulingana na hali ya uchumi ya sasa hivi, kupunguza supply ya shillingi maana yake ni kupunguza money supply growth ambayo directly inaenda ku hit ukuuaji wa uchumi kama tulivolalamika mwaka 2017 (utasakia laymen wanasema Magu kabana kumbe ni kwamba ujasi wa fedha haukui kwenye uchumi kama ilivokuwa kipindi cha nyuma)

Kuna issue nyingine kama
- Ukuuaji wa deni la taifa la nje by now ni kama USD 24 billion hivi... hii nayo inachangia pakubwa kuzorota kwa shillingi nazani ntajipanga next time kuelezea kwenye mada yake (mzozo wa madeni unaonukia Tanzania)
- Kuna issue ya nakisi katika account ya biashara .. na moja wapo ya mambo yanayosababisha hata issue pia ya korosho ipo maana imagine kama nchi ilikuwa ina uhakika wa kupata USD zaidi ya million 500 kila mwaka halfu automatikally haipo tena. (Hata hii ni sababu kwanini nimeona kwamba miaka mitatu ijayo dola inaweza kuwa zaidi ya 2500

Kwa hali ilivo hakuna matumaini hii dolla kwamba itakaa ishuke tena. It seems Banki kuu kama wamesalimu amri. Tegemeo lao pekee ni kwamba inflation ipo bellow 4% na hiyo inatokana zaidi na stabilization ya bei ya chakula.

Na tuzidi tu kuomba Mungu inflation inendelee kuwa hapa ilipo.. Ikianza kupanda na huku shilingi inaporomoka nadhani tutatafutana mpaka chini ya uvungu. Hao tunaowaita mabeberu nao nadhani hii point wanaingoja sana ifike. (Wale watu washenzi wewe usione wamekaa kimya)
Ni kawaida Kwa nchi kama tz kuyumba Kwa dollars mbona 2014 ilikuwa exchange Kwa 1500. Mwak mmoja jamaa 2015 ilijump kufikia 2250. .foreign exchange imekuwa ndogo nchini kuzuia watu wasiuze mahindi, mchele na mazao nje ya Nchi. Korosho mwaka huu pia idadi ndogo ya watalii wanaoingia nchini

Mbona Kenya na Uganda zipo stable kwa sasa na shilingi zao zinaimarika dhidi ya dola?
 
View attachment 1008116

Nilitamani kuweka hichi kitu siku nyingi ila jana nimenunua dola kwa Sh 2325 nikaona hapana itabidi niweke ili bandiko la utafiti kidogo.

In short ni kwamba dola ipo kwenye kipindi muhimu sana kwa sababu huu ni wakati ambao inakuvuka highest high ya mwaka 2015 wakati rate ilipokuwa kwenye 2335 na kuvuka huku kuna maana moja kubwa sana kwangu kwamba 'Banki kuu haina nguvu tena ku stabilize the exchange rate in the economy' (in my OPINION)

Kipindi cha nyuma mwaka 2015 baada ya dola kufika around 2335 kama unavoona kwenye chart hapo juu, Banki kuu ilikuwa na mabavu ya kuongeza supply (ujasi) wa dola kwenye uchumi kutoka kwenye reserve ambayo ili hit moja kwa moja kwenye mabenk ambayo automatically ikashusha bei ya dola kwa momentum ambayo ni kubwa mpaka kwenye level ya 2000 kwa dola moja mwanzoni mwa mwaka 2016.

Unaweza ukashangaa nguvu hiyo imepotea vipi kwa wakati huu, kwanini wasifanye kama kipindi cha nyuma? its simple kuna mambo yafuatayo

1) Japo ni kweli kwamba Banki wanaweza kuwa na reserve ya dola ila wanakosa uthubutu kwa wakati huu kwasababu moja kubwa -- kuna uncertanties kubwa mno kwa sasa inayotishia inflow ya dola kwa wakati ujao. So automatically Bank kuu hawawezi kuthubutu kumwaga supply ya dola kwenye uchumi ili kuimarisha shilingi maana kufanya hivo ina maana wanajiweke kwenye hatar ya kukausha foreign reserve ya nchi which is dangerous kwa kipindi hiki. Ukikaukiwa dola halafu una external debt ipo kwenye dola maana yake unaiweka shillingi yako rehani coz itabidi uishushe zaidi ili uattract inflows za dola ambayo inaweza kuwa janga kubwa mnoo.

2) Ujasi wa fedha (TZS) kwenye uchumi bado sio wa kuridhisha namaanisha (money supply growth kwa kipindi hiki bado ipo kwenye record low.. so any attempt ya kuongeza dolla kwenye uchumi inamaana bank kuu watabidi kununua shillingi iliyopo kwenye uchumi ili dola iweze kuingia kwenye mzunguko na rate iweze kushuka.. But kulingana na hali ya uchumi ya sasa hivi, kupunguza supply ya shillingi maana yake ni kupunguza money supply growth ambayo directly inaenda ku hit ukuuaji wa uchumi kama tulivolalamika mwaka 2017 (utasakia laymen wanasema Magu kabana kumbe ni kwamba ujasi wa fedha haukui kwenye uchumi kama ilivokuwa kipindi cha nyuma)

Kuna issue nyingine kama
- Ukuuaji wa deni la taifa la nje by now ni kama USD 24 billion hivi... hii nayo inachangia pakubwa kuzorota kwa shillingi nazani ntajipanga next time kuelezea kwenye mada yake (mzozo wa madeni unaonukia Tanzania)
- Kuna issue ya nakisi katika account ya biashara .. na moja wapo ya mambo yanayosababisha hata issue pia ya korosho ipo maana imagine kama nchi ilikuwa ina uhakika wa kupata USD zaidi ya million 500 kila mwaka halfu automatikally haipo tena. (Hata hii ni sababu kwanini nimeona kwamba miaka mitatu ijayo dola inaweza kuwa zaidi ya 2500

Kwa hali ilivo hakuna matumaini hii dolla kwamba itakaa ishuke tena. It seems Banki kuu kama wamesalimu amri. Tegemeo lao pekee ni kwamba inflation ipo bellow 4% na hiyo inatokana zaidi na stabilization ya bei ya chakula.

Na tuzidi tu kuomba Mungu inflation inendelee kuwa hapa ilipo.. Ikianza kupanda na huku shilingi inaporomoka nadhani tutatafutana mpaka chini ya uvungu. Hao tunaowaita mabeberu nao nadhani hii point wanaingoja sana ifike. (Wale watu washenzi wewe usione wamekaa kimya)
Leo tarehe 21/02/2019 , $ ni 2418 mamaee march kama Leo itakuwa 2500
 
Back
Top Bottom