Kijuujuu haya ndo mapenzi ya kweli. Ila kwa kuwafahamu wadada wa siku hizi walivyo ninashawishika kusema kwamba huenda huyo bwana pamoja na hali yake ana mikwanja mirefu.
inahitaji moyo wa upendo wa agape kweli yani umpende kidhati na umthamini kidhati
katika hali njema au mbaya na huo ndo tunaauita upendo wa kiagape kabisa