Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,275
itakua pesa... wanawake wana akili
viko vingi,na pesa inaweza kuwa ni kimoja wapo
itakua pesa... wanawake wana akili
Na akifanyiwa hayo tu,asilimia kubwa huwa yanaweza kutokea kama ya Pistorious wa South Africa.
Kijuujuu haya ndo mapenzi ya kweli. Ila kwa kuwafahamu wadada wa siku hizi walivyo ninashawishika kusema kwamba huenda huyo bwana pamoja na hali yake ana mikwanja mirefu.
Mapenzi hayo yapo? Ni rahisi kwa maneno ila sio wengi wanaweza kufanya kwa vitendo.
Kijuujuu haya ndo mapenzi ya kweli. Ila kwa kuwafahamu wadada wa siku hizi walivyo ninashawishika kusema kwamba huenda huyo bwana pamoja na hali yake ana mikwanja mirefu.
Huyo mwanaume atachapiwa vibaya sana
Huenda ni mchapaji mzuri, husione wembamba wa reli........Huyo mwanaume atachapiwa vibaya sana
Hiyo ni kweli mkuu, sio uigizaji harusi hiyo imefanyika Eritrea.
Huyo mwanaume atachapiwa vibaya sana
Huyo mwanaume atachapiwa vibaya sana
Sio wamepiga picha tu