Hapana, mimi binafsi nimeshashuhudia watu wameoa na kuolewa na walemavu. Unamkumbuka yule msanii (Jembe?) wa ze comedy? Mkewe mlemavu, simkumbuki jina? Hudhani kama jamaa angekuwa na mwanamke mrembo si ajabu angemuacha kitandani akawahi wazee wa mjini?
Shida ya ulemavu ni kumpata mwenye kujiamini na asietumia ulemavu wake kama sababu ya kushindwa maisha. wasiokuwa walemavu wanafulia kiuchumi, wanaugua, wanakuwa cheated, wanapoteza kazi etc. ulemavu ni limitation tu ya baadhi ya mambo, na sio kikwazo!