Mi natumia saa hizi kwenye gari. Nainjoi nyimbo mpya za Brenda Fassie na Mbaraka Mwishehe. Pia kuna Album mpya katoa Hemed Maneti na Lucky DubeBado zipo mtaani na zinatumika
***Mi natumia saa hizi kwenye gari. Nainjoi nyimbo mpya za Brenda Fassie na Mbaraka Mwishehe. Pia kuna Album mpya katoa Hemed Maneti na Lucky Dube