Wangapi humu tunaijua hii?

Wangapi humu tunaijua hii?

Alafu zinapausha uso balaa! sasa ukute ndio huna mafuta ya kujipaka mtu unaanza kuomba omba kwa wahudumu reception! nao tena ukute wanayale malosheni ya ya kuchanganya na glcerine yaani mytu mzima unaumbuka live live!!

Ha ha lotion inaharufu kal balaa.. Ndiyo mwanzo unakomaaa hauna mafuta ya mgando
 
Halafu unapewa mafuta ya raise
 
Ndio hapo sasa ila nimejifunza nitakuwa namuagiza aje na NIVEA LOTION angalau!
 
Back
Top Bottom