Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,426
Ile achana nayo ilishaniumbua sitak kabisa
hahahahaa! Ulienda kucheza friend match?
Siku moja hapakutosha na kiota. Ile nafungua mlangu nikaona mtu ananikazia macho nakaa nakuta ananisogelea mwilin na kunikwida hahahaaa! Acha kabisa sasa hivi mm naenda na kipande cha jamaa kabisa hivi visabuni staki hata kuvigusa