Wangapi humu tunaijua hii?

Wangapi humu tunaijua hii?

kigori wa kilwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
483
Reaction score
149
Mie nilionaga sehemu hivi , sijui we uliona wapi?
 

Attachments

  • 1449902763805.jpg
    1449902763805.jpg
    20.1 KB · Views: 2,590
Picha kwangu haifunguki kigori nitumie pm basi
 
Niliwahi kuiona pale Reality Guest House
 
Mbna mi ninayo home hapa na tumia everyday..kwan ni tatzo?
 
hizi sabuni balaa znatakiwa ziitwe kama mwizi. Maana zna harufu ukiwa umetoka maeneo flan lazma utajulikana tu
 
Aaaahhha haswa wife awe anazijua harufuuu utajuta aaa

acha kabisa bhana. Hizi kama ww n mzinz unatakiwa uzinunue ziwepo ndan kwako uwe unaogea mara mojamoja ili hata ukitoka nje huko harufu isikuumbue
 
Back
Top Bottom