Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

Tangazo lako limeshaonekana kwamba
1.UPO SINGLE
2.HAUCHEPUKI
3.UNAHAMU YA KUINGIA TENA KWENYE MAHUSIANO ILA HAUJAPATA MPENZI
4.HAUJATUMIKA SANA COZ ULIKUWA NA MPENZI MMOJA TU.
Haya sasa, mabazazi wa JF kazi kwenu
Hiyo inaitwa tangazo mbashara kudadadeki
 
Dah... Kwa mwanaume kuchepuka ni kujifunza na kufanyia majaribioo mbinu mpya za sanaa kazi......Bila kuchepuka hutaongeza ujuzi[emoji12] [emoji12]
 
Nilichepukaga enzi za u-boyfriend na u-girlfriend.

Lakini toka nimeingia kwenye ndoa,ni muongo mmoja sasa,sijachepuka na wala sina mawazo hayo. Namuomba Mungu aninusuru na mawazo hayo ya kishetani. Na aliyenioa si katika hao maboyfriend.
Mungu ni mwaminifu atakunusuru ucijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…