Wandugu nimepatwa

Umepatwa na nini? Usije ukachuuza mtu hapa apatwe na malaria ajifukize mvuke tutampoteza
 
Huyo atapaswa kupimwa akili[emoji23] lakini kabla hajapotea kwasababu Mafia hayatibiwi na quinine
 
We kijana hukuenda mlimani kutambika?? Acha kudanganya watoto bhana..

[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] halafu wee mzee wewe si kila kitu ni cha kuweka hapa! 'Shauri yako'[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Acha kunitisha, hata mimi nimeaga kwetu

Asante mshana jr moja wapo ya mambo yanayokupa wafuasi wengi ni kujitahidi kujibu kila swali LA mtu

Ila hapo bado sijaelewa huo ugonjwa gani
Hauna tofauti na upungufu wa kinga mwilini, ukishakosa kinga ugonjwa wowote waeza kukupata
 
Karibu tena, pole sana...
 
Hauna tofauti na upungufu wa kinga mwilini, ukishakosa kinga ugonjwa wowote waeza kukupata
Barikiwa mkuu nimekuelewa

Jana nami kuna MTU amepata kama hilo halafu mke Wa mtu nilienda kumsalimia baadae akapoteza nguvu kabisa nikajua anapotea Ila baadae akalicover
 
Pole Mkuu Mshana
 
Mungu wangu usirudie tena tafadhali tafakari usemi huu kiroho... CHA MTU MAVI
 
Ndio nimejifunza japo demu mwenyewe Leo kaamka na maneno makali sana eti ingekuwa tuko lodge ingekuwaje nikamwambia limepita darasa na nimelielewa kabisaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…