Hapa kazin mkuu mambo ya salary advance hua hamna hasa kwa sisi wabongo wanapeana wao tu wageniEti kuna watu wanasemaga kuwa, ni vibaya mwanamme kusema amepata dharura mkewe anakaribia kujifungua au amejifungua. wanaamini kuwa tangu mimba ya mwezi mmoja alikuwa anajua kitakachotokea hivyo alipaswa kuweka akiba.
Pole kwa msiba wa huko ukweni kwako.
Kuhusu kukusaidia, hebu jaribu kuomba salary advance kwa mwajiri wako mkuu!!
Nshajarbu kwa wafanyakaz wenzangu lkn hakuna msaada wowoteKwa ushauri anzia hapo ofisini kwako kuomba kwa boss au wafanyakazi wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kazin mkuu mambo ya salary advance hua hamna hasa kwa sisi wabongo wanapeana wao tu wageni
Mkuu, nikianza kuchambua ama kumuuliza maswali mleta uzi pengine nitakukwaza ama pengine unaweza nichukiwa.Mie mhenga hukuwa na nia nzuri.. km ww hujawah pitia haya maisha shukuru Mungu
Wewe na thread zako jf wote wanajidai matajiri nilifikiri huwa huoni hizi threads.Eti kuna watu wanasemaga kuwa, ni vibaya mwanamme kusema amepata dharura mkewe anakaribia kujifungua au amejifungua. wanaamini kuwa tangu mimba ya mwezi mmoja alikuwa anajua kitakachotokea hivyo alipaswa kuweka akiba.
Pole kwa msiba wa huko ukweni kwako.
Kuhusu kukusaidia, hebu jaribu kuomba salary advance kwa mwajiri wako mkuu!!
Mkuu, nikianza kuchambua ama kumuuliza maswali mleta uzi pengine nitakukwaza ama pengine unaweza nichukia.
Kimsingi waTanzania sisi wengi wetu ni wavivu na tunapenda sana kuomba.
Na humu jf pameibuka wimbi la utapeli kwa visingizio vya kutanguliza habari za simanzi ili muhusika aonewe huruma.
Na kwakua mimi ninakujua wewe ni muhenga mwenzangu, basi bilashaka unakumbuka matukio kadhaa kama ama yenye kufanana na haya ambayo yamesha tokea na mwisho wa siku tunabakia kujiuluza who to trust...!!??
Anyway, hata nami mke wangu ni mjamzito na ndani tena akiba ya kiwango ambacho hata mleta mada anakiasi kikubwa cha fedha.
Ninaijua shida mkuu, na nimetoka kwenye poor family na nikuongezee tu kwamba nina watoto pia.
Bilashaka umenielewa hata kidogo
Mkuu, wakati mwingine tukisema ukweli humu tunachukiwa.Eti kuna watu wanasemaga kuwa, ni vibaya mwanamme kusema amepata dharura mkewe anakaribia kujifungua au amejifungua. wanaamini kuwa tangu mimba ya mwezi mmoja alikuwa anajua kitakachotokea hivyo alipaswa kuweka akiba.
Pole kwa msiba wa huko ukweni kwako.
Kuhusu kukusaidia, hebu jaribu kuomba salary advance kwa mwajiri wako mkuu!!
We jamaa shukuru mungu tu,la sivyo,na umenikera sana kama sio kunikasirisha kuniita tapeli,hunijui tu.Na unaongelea siri gan ambazo nimezitoa ambazo ni za kutisha.Kwani lazima uchangie kwenye kila thread,nyingne zipotezee mzee.Tafadhali sana mkuu hatujuani ila tuheshimianeMkuu, wakati mwingine tukisema ukweli humu tunachukiwa.
Nijuavyo mimi, swala la mke kujifungua sio dharura. Na hauwezi ukaniambia mimi kwamba nitumie akiba nilio itunza kwaajili ya mke wangu kuja kujifungua, na badala yake akiba hiyo ikatumike kwenye msiba huko ukweni.
Huo ni upuuzi wa hali ya juu kabisa aiseeeeee.......
Na kwani... mtu hauna marafiki, ndugu, wafanyakazi wenza ama watu wanao kuzunguka hadi ushindwe kuwaomba huo mkopo...!!??
Na badala yake mwanaume anapo kuja humu kwangu naiona hii sasa ni kutaka kuhurumiwa tu, na badala yake unatoa siri zako ambazo sio lazima tuzijue, ili tu uhurumiwe aiseeeeee.... seriously [emoji53] [emoji53]
By the way, mimba sio ugonjwa ikiwa tu mama mjamzito atahudhuria clinic kwa wakati na kufuata mashart ya wataalamu
Basi sawa mkuu, maana kama nilipo kua mkimya ulikuja na tafsiri yako wewe binafsi.Hapa kuna mawili..mtoa mada anaomba msaada kweli au ni tapeli...bas ni vyema ukakaa kimya..kuliko kukebehi ..huna msaada km mm kaa kimya kuna watu wanamoyo wa kutoa..mie ht nitoe mia yangu kwa tapeli siumii mradi najua nimesaidia...!maisha ya ujauzito hayatabiriki kbs...!
Siku nyingine jifunze kutohukumu...ogopa sana hyo kitu...Mwachie Mungu atahukumu..!
Umenifanya nijute kuandika hii thread,kwan lengo langu lilikua sio kupata maneno kama haya ya kunitusi na kunifananisha na tapeli,lengo ilikua kupata msaada hata kama sio wa pesa hata ushauri tu,na ndo maana nikasema hata kama mtu anajua taasis yoyote inayotoa pesa kwa riba anisaidie hata jina,lkn still naonekana tapeli naonekana kama sio mwanaume ngangari.Lkn asante mzeeMkuu, wakati mwingine tukisema ukweli humu tunachukiwa.
Nijuavyo mimi, swala la mke kujifungua sio dharura. Na hauwezi ukaniambia mimi kwamba nitumie akiba nilio itunza kwaajili ya mke wangu kuja kujifungua, na badala yake akiba hiyo ikatumike kwenye msiba huko ukweni.
Huo ni upuuzi wa hali ya juu kabisa aiseeeeee.......
Na kwani... mtu hauna marafiki, ndugu, wafanyakazi wenza ama watu wanao kuzunguka hadi ushindwe kuwaomba huo mkopo...!!??
Na badala yake mwanaume anapo kuja humu kwangu naiona hii sasa ni kutaka kuhurumiwa tu, na badala yake unatoa siri zako ambazo sio lazima tuzijue, ili tu uhurumiwe aiseeeeee.... seriously [emoji53] [emoji53]
By the way, mimba sio ugonjwa ikiwa tu mama mjamzito atahudhuria clinic kwa wakati na kufuata mashart ya wataalamu
Basi sawa mkuu, maana kama nilipo kua mkimya ulikuja na tafsiri yako wewe binafsi.
Na sasa nimtoa maoni yangu, napo naonekana nimekebehi.
Ebu ngoja kwa siku ya leo niishie hapa Muhenga mwenzangu.
Samahani mkuu....We jamaa shukuru mungu tu,la sivyo,na umenikera sana kama sio kunikasirisha kuniita tapeli,hunijui tu.Na unaongelea siri gan ambazo nimezitoa ambazo ni za kutisha.Kwani lazima uchangie kwenye kila thread,nyingne zipotezee mzee.Tafadhali sana mkuu hatujuani ila tuheshimiane
Umenifanya nijute kuandika hii thread,kwan lengo langu lilikua sio kupata maneno kama haya ya kunitusi na kunifananisha na tapeli,lengo ilikua kupata msaada hata kama sio wa pesa hata ushauri tu,na ndo maana nikasema hata kama mtu anajua taasis yoyote inayotoa pesa kwa riba anisaidie hata jina,lkn still naonekana tapeli naonekana kama sio mwanaume ngangari.Lkn asante mzee
Mkuu, nimekuomba msahama kwa kile nilicho jiandika kama mtazamo wangu binafsi.Umenifanya nijute kuandika hii thread,kwan lengo langu lilikua sio kupata maneno kama haya ya kunitusi na kunifananisha na tapeli,lengo ilikua kupata msaada hata kama sio wa pesa hata ushauri tu,na ndo maana nikasema hata kama mtu anajua taasis yoyote inayotoa pesa kwa riba anisaidie hata jina,lkn still naonekana tapeli naonekana kama sio mwanaume ngangari.Lkn asante mzee
niliogopa kuchangia sababu shida ya mtu anaijua mwenyewe...umejibu vyema manengeloJitahidi uwe na kauli nzuri mkuu..la sivyo ww huyajui maisha ya ndoa au maisha ya kipindi cha ujauzito