Wanazuoni wasikitishwa na sera za mgombea urais

Wanazuoni wasikitishwa na sera za mgombea urais

alidandia hoja ya lowassa .kura tunampa lowassa
 
WANAZUONI WASIKITISHWA NA SERA ZA MGOMBEA URAIS

Hatimaye mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM, Dr John Pombe Magufuli amezidi kutikisa ngome ya wanazuoni hususani ktka ajenda zake za elimu bure kuanzia darasa la awali hadi form six.

Awali kulikuwa na mijadala kadhawakadha kama swala hilo anaweza kutekeleza kiurahisi lkni kadri siku zinavyozidi kusonga mbele, Wanazuoni hao baada ya kupitia tafiti mbalimbali kutoka nchi wanachama wa ECOWAS, pamoja na EU.

Kuna baadhi ya nchi zilizfanikiwa sana katika sekta ya elimu hivo kwa nchi kama Tanzania kwa kuanzisha sera mpya ya elimu pamoja na elimu bure itakuwa ni chachu ya maendeleo.

Aidha Wanazuoni hao wamezidi kupinga vikali hoja ya elimu bure hadi chuo kikuu, kwa mujibu wa tafiti zao hata nchi zilizoendelea kiviwanda hususani Japani, China, Ujerumani, Marekani na hata Uingereza pamoja na kuwa na uchumi imara bado nchi hizo wazijafikia hatua ya kutoa elimu bure hadi chuo kikuu.

Swali itawezekanaje kwa nchi changa kama Tanzania inayotegemea misaada kutoka nchi hizo? Kwa mujibu wa wanazuoni hao ni wakati stahiki kwa Tanzania kupata kiongozi mwenye sera zinazoweza kutekelezeka na kwa wakati.

Kama watu waliweza kuchota bilioni miatatu za ESCROW hamkusema nchi ni changa
 
wanazuoni hao watakuwa na matatizo ya kufikiria nje ya box,kama serkali inaweza kununua VX kwa wakuu wa mikoa,wilaya,wabunge.wakurugenz wote,inashindikana vp kusomesha bure wanafunz
 
ujerumani (imetajwa katika andiko lako) hadi chuo kikuu bure sijui wametafiti wapi.

Germany scraps tuition
fees for all universities
Politicians say charging young
people for education is ‘socially
unjust’.

Less than a year after the British government
realised that the hike in tuition fees
accomplished absolutely nothing besides
landing students in more debt , Germany has
decided to abolish fees for all universities.
What's the German word for "deep regret at
choosing the wrong place of study, tinged with
envy and bitterness"?
Lower Saxony is the final German state to
scrap tuition fees, meaning that all German
universities are free of charge for all students –
and yes, that includes overseas students.
"Tuition fees are socially unjust," Dorothee
Stapelfeldt, senator for science in Hamburg, told
the Times . The state scrapped fees in 2012.

"They particularly discourage young people who
do not have a traditional academic family
background from taking up studies. It is a core
task of politics to ensure that young women and
men can study with a high quality standard free
of charge in Germany."

German universities were allowed by law to
start charging fees in 2006, when
a constitutional court decided that moderate
fees combined with loans did not violate the
country’s commitment to universal higher
education. Most schools only charged relatively
low amounts of around €1,000 a year (£845) –
but that didn't stop state governments from
changing their mind after eight years.
"There is a tradition here that education is free
from beginning to end, and that is very difficult
to change," Hamburg University vice-president
Dr Holger Fischer explained.
According to Fischer, abolishing fees is a
"catastrophe" as it allowed universities to
"improve the teaching and infrastructure". But
it's good news for university students who are
about the start the new autumn term in
Germany, free of charge.
 
Utafiti wa wanazuoni umeangalia nfumo wa elimu kwa nchi za scandanavia? Je, elimu bure chuo kikuu haiwezekani?

Pili, hao watakuwa wanazuoni makanjanja kama hawajaja na gharama za elimu kuanzia msingi hadi chuo kikuu na kuangalia mapato ya nchi kama yatakusanywa ipasavyo then waone kama itashindikana iwapo elimu ikiwa kipaumbele
 
WANAZUONI WASIKITISHWA NA SERA ZA MGOMBEA URAIS

Hatimaye mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM, Dr John Pombe Magufuli amezidi kutikisa ngome ya wanazuoni hususani ktka ajenda zake za elimu bure kuanzia darasa la awali hadi form six.

Awali kulikuwa na mijadala kadhawakadha kama swala hilo anaweza kutekeleza kiurahisi lkni kadri siku zinavyozidi kusonga mbele, Wanazuoni hao baada ya kupitia tafiti mbalimbali kutoka nchi wanachama wa ECOWAS, pamoja na EU.

Aidha Wanazuoni hao wamezidi kupinga vikali hoja ya elimu bure hadi chuo kikuu, kwa mujibu wa tafiti zao hata nchi zilizoendelea kiviwanda hususani Japani, China, Ujerumani, Marekani na hata Uingereza pamoja na kuwa na uchumi imara bado nchi hizo wazijafikia hatua ya kutoa elimu bure hadi chuo kikuu.

Hizo Ahadi Awaahidi Wasomi, Sisi Malofa hazituhusu coz hatusomi.
 
Nawapongeza hao Wanazuoni,ila ni kwann wasifanye utafiti wa zilizotafunwa kwenye Xcro, kama zingeingizwa kwenye Elimu zingesaidia vip?
 
Hao wanazuon wakafanye tagfit tena kwamba nchihizo zaulaya walizozitaja zilizoendelea kiviwanda wanatoa wapi maligafi? Kwann isiwrzekane nikod kias gani inapotea kwskutoa misamaha yakifisadi ukiachilia wizi wa epa,Richmond,escrow nauchafukibao km huo? Nyie wanazuon rudin darasan
 
WANAZUONI WASIKITISHWA NA SERA ZA MGOMBEA URAIS

Hatimaye mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM, Dr John Pombe Magufuli amezidi kutikisa ngome ya wanazuoni hususani ktka ajenda zake za elimu bure kuanzia darasa la awali hadi form six.

Awali kulikuwa na mijadala kadhawakadha kama swala hilo anaweza kutekeleza kiurahisi lkni kadri siku zinavyozidi kusonga mbele, Wanazuoni hao baada ya kupitia tafiti mbalimbali kutoka nchi wanachama wa ECOWAS, pamoja na EU.

Kuna baadhi ya nchi zilizfanikiwa sana katika sekta ya elimu hivo kwa nchi kama Tanzania kwa kuanzisha sera mpya ya elimu pamoja na elimu bure itakuwa ni chachu ya maendeleo.

Aidha Wanazuoni hao wamezidi kupinga vikali hoja ya elimu bure hadi chuo kikuu, kwa mujibu wa tafiti zao hata nchi zilizoendelea kiviwanda hususani Japani, China, Ujerumani, Marekani na hata Uingereza pamoja na kuwa na uchumi imara bado nchi hizo wazijafikia hatua ya kutoa elimu bure hadi chuo kikuu.

Swali itawezekanaje kwa nchi changa kama Tanzania inayotegemea misaada kutoka nchi hizo? Kwa mujibu wa wanazuoni hao ni wakati stahiki kwa Tanzania kupata kiongozi mwenye sera zinazoweza kutekelezeka na kwa wakati.

Swali kwako au wana nguoni wako;
Bajeti yasa ya wizara ya limu ni wastani kiasi gani kwa mwaka? Fedha inayo tolewa na serikali kwa mwaka ni kiasi gani? Najua bajeti ya sasa haikidhi mahitaji ya elimu kwa mwaka, je gharama ya kuendesha wizara ya elimu kuanzia chekechea hadi chuo kikuu ni kiasi gani kwa mwaka?

Ukisha leta majibu hayo ujue pia Tanzania kuishi kwa kukopa nje ni kufidia fedha za kukwapua. Value for money haipo kwa serikai ya Tanzania, kila mtu anajua na tuna lalamika kuwa kuna mtumizi mengine ya kujitakia na yasiyo ya lazima. Fedha inayo kusanywa haitumiki kwa masilahi ya Taifa bali hushia mikononi mwa wachache. Wewe vipi, umekula maharage ya wapi wewe?
 
WANAZUONI WASIKITISHWA NA SERA ZA MGOMBEA URAIS

Hatimaye mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM, Dr John Pombe Magufuli amezidi kutikisa ngome ya wanazuoni hususani ktka ajenda zake za elimu bure kuanzia darasa la awali hadi form six.

Awali kulikuwa na mijadala kadhawakadha kama swala hilo anaweza kutekeleza kiurahisi lkni kadri siku zinavyozidi kusonga mbele, wanazuoni hao baada ya kupitia tafiti mbalimbali kutoka nchi wanachama wa ECOWAS, pamoja na EU.

Kuna baadhi ya nchi zilizfanikiwa sana katika sekta ya elimu hivo kwa nchi kama Tanzania kwa kuanzisha sera mpya ya elimu pamoja na elimu bure itakuwa ni chachu ya maendeleo.

Aidha wanazuoni hao wamezidi kupinga vikali hoja ya elimu bure hadi chuo kikuu, kwa mujibu wa tafiti zao hata nchi zilizoendelea kiviwanda hususani Japani, China, Ujerumani, Marekani na hata Uingereza pamoja na kuwa na uchumi imara bado nchi hizo wazijafikia hatua ya kutoa elimu bure hadi chuo kikuu.

kama nchi inaweza kutoa milioni 150 kwa kata zote za jiji la dar es salaam na milioni hamsini kwa kila kijiji nchi nzima itashindwaje kulipia ada za wanafunzi?
 
Huo ni ujinga wa ccm kuwataka watu waamini propaganda zao.

Mimi nasoma usa nipo peoria illinois scholarship tunapewa na serikali ya marekani 4 years wala siyo mkopo.chadema waliposema 2010 watatoa elimu bure ccm walisema haiwezekani lakini leo wamechukuwa agenda hiyo na kuifanya kuwa ya kwao.

Pesa inayopotea tanzania ni kubwa mno ambayo inaweza kufanya zaidi ya kusomesha watu hadi chuo kikuu
 
Na bado wananunua mashangingi. Land cruiser moja inanunuliwa 200 ml. Zingejenga madarasa mangapi au kununua madawati mangapi?

Sera za CHADEMA zimefanyiwa kazi ndio maana Lowassa amesema atapunguza mshahara wa Rais kutoka 400 mil hadi 2 mil kwa mwezi!

#TukoMakini
 
Wanazuoni wa bongo vilaza wanapingana na hata thesis zao walizopatia PHD. ..kila mwezi kuna mishahara hewa bilioni zaidi ya 40 zinakwenda kusikojulikana na wausika wamekiri hilo ...sasa hiyo mihanya ikizibitiwa elimu bure kwa kila mtanzania inawezekana. ..msitumiwe vibaya muogopeni Mungu
 
Back
Top Bottom