Wanawake ziiii...

Wanawake ziiii...

Sijaipata. Labda utume tena
kimbia upesi pm kuna kitu kinakusubiri.. Mwanamke sio mtumwa wala mtumishi. Mwanamke ni Ua linalohitaji huduma ya Kumwagiwa maji masafi na yenye baraka.. Can't be without you Jimena wangu
 
kimbia upesi pm kuna kitu kinakusubiri.. Mwanamke sio mtumwa wala mtumishi. Mwanamke ni Ua linalohitaji huduma ya Kumwagiwa maji masafi na yenye baraka.. Can't be without you Jimena wangu
wewe sasa unataka kuniachanisha na shemeji yako, mi si nilikwambia lakini kuwa sitegemei kumuacha? Usimfanyie hivyo basi
 
WANGEKUWA SAWA NASIE BASI WANGEKUWA NAO WANATUTONGOZA
 
Nilikutana na mmoja Hata kuvunja yai anaona adhabu ,kwamba hajazoea kwao kukaa jikoni ,niliishia kumwonea huruma ,kuna majukumu kimsingi mwanamke hawezi yakwepa
 
Sio umagharibi uonevu kwa mwanamke lazima ukomeshwe we need egual opportunities kila sehemu kuanzia kwenye elimu Mpaka kwenye uongozi
Njoo mererani mama kuna mgodi unataka wafanyakazi ,unazama mgodini kutoka ni baada ya siku tatu ,hakuna chakula ,ni wewe na nyundo ,baruti ,na kusomoa tu udongo
 
Njoo mererani mama kuna mgodi unataka wafanyakazi ,unazama mgodini kutoka ni baada ya siku tatu ,hakuna chakula ,ni wewe na nyundo ,baruti ,na kusomoa tu udongo
Kuna hela ya kutosha huko kwanza I'll ukizamia ukiibuka utapata cha maana
 
Kuna hela ya kutosha huko kwanza I'll ukizamia ukiibuka utapata cha maana

Mweee kwa hiyo unaweza zama sio ?? Hivi hebu jiangalie hapo ulivyo mlaini ,unywele mpaka mgongoni ,macho kama unakata roho , hips 48 inch.........kweli kabisa mwili huo uzamishe mgodini ??? Hebu bakini na nature yenu kama maua bana ,mambo mengine tuachieni tu wanaume
 
nataka nikupeleke kwetu uziguani lakini nahisi kuna mtu ananiwekea mtima nyongo
Uziguani siendi.... Nimetulia tuliii hapa nilipo, tunasikiliza raggae tu na bae
 
Back
Top Bottom