Sio umagharibi uonevu kwa mwanamke lazima ukomeshwe we need egual opportunities kila sehemu kuanzia kwenye elimu Mpaka kwenye uongoziUmagharibi utawaponza kabisa, wanachotaka kutengeneza jamii yenye migongano then watatutawala kirahisi sana
Kwa hilo na Mimi nasema ziiiiiiiiiiiii
Siyo kwa ubaya:
*Aliumbwa mwanadamu kwa mfano wake yeye (Mungu). Huyo mwanadamu ni Adam, Adam ni mwanume.
* Alishi kwa muda mrefu sana ndani ya bustani ya Eden, na kutawala vyote vilivyo angani, aridhini na majini. Kwa maana dunia ilikuwa inaendeshwa/ kuongozwa na mwanaume.
* Baadae sana akaletwa msaidizi kutoka kwenye ubavu wake yeye Adam, akaitwa Eve. Ambae ni mwanamke.
Wacheni wanawake wafanye wanavyotaka au wanachotaka, wala msishindane nao... lakini dunia hii inaendeshwa ki-mfumo dume daima na milele.
sasa kwa nini huyo Mungu anawaruhusu hao sijui illuminati wavuruge uasili aliouweka? na hao illuminati ni binadamu au ni viumbe wenye nguvu zaidi ya binadamu? na kama ni binadamu ina maana ni wanawake tu? maana wanaume hawawezi kujiundia mpango wa kujipinga wenyewe.Mkuu Ukisema Hapa Utaonekana Ni Povu Sijui Nini Mara Una Wivu.
Hizi Movement Zote Feminism,Communism,Same Sex Marriages, Ni Mpango Wa Illuminati Kupinga Ule Uasili Ambao Mwenyezi Mungu Aliuweka Alipoumba Dunia.
Feminism:Movement Ya Wanawake Kutaka Usawa Goes On And On,Ila The Real Objectives Ni Kudistruct The Order Which Mungu Aliweka That Mwanaume Ndio Kiongozi. Nowadays Wanawake Ni Viburi Na Wana Vyombo Vya Kuwatetea Leo Hii Hata Ukisema Ukweli Unaonekana Mbaya. Illuminati Walileta Hii Lengo Kubwa Ni Kusambaratisha Familia Kwakua Mwanamke/Mke Atapewa Uwezo Atampinga Mwanaume/Mume Wake,Kitu Kitakachopelekea Familia Kuyumbayumba. Na Kama Tujuavyo Familia Ni Nguzo Ya Dini Zetu Kubwa Mbili,Ukristo Na Usilamu,Familia Ikiwa Na Matatizo Hamna Atakayejihusisha Na Dini Hivyo Kuzidi Kuzidhoofisha .Feminism Breaks The Order From Bible And Quran That Man Is The Head.
Sasa Huku Africa Kwetu Tunashadadia Tu Mambo Bila Hata Ya Kuelewa.
Wahusika Wanatudepict Men,Mostly African Men As Barbaric Oppresive,Suppresive Urging Women To Rise Against Us.
Nowadays Ndoa Nyingi Hazidumu Kwa Sababu Kuna Vichwa Viwili Na Sio Kimoja Tena.
Sisupport Ukatili Ama Oppression Against Women ,There Are Things Done Against Women Which Are Unnacceptable Like FGM,And Those Done To Them Just Cause They Are Female.
Nimekuelewa sanaaasasa kwa nini huyo Mungu anawaruhusu hao sijui illuminati wavuruge uasili aliouweka? na hao illuminati ni binadamu au ni viumbe wenye nguvu zaidi ya binadamu? na kama ni binadamu ina maana ni wanawake tu? maana wanaume hawawezi kujiundia mpango wa kujipinga wenyewe.
Iyo baadae saaaaaanaa umenukuu wapi??Siyo kwa ubaya:
*Aliumbwa mwanadamu kwa mfano wake yeye (Mungu). Huyo mwanadamu ni Adam, Adam ni mwanume.
* Alishi kwa muda mrefu sana ndani ya bustani ya Eden, na kutawala vyote vilivyo angani, aridhini na majini. Kwa maana dunia ilikuwa inaendeshwa/ kuongozwa na mwanaume.
* Baadae sana akaletwa msaidizi kutoka kwenye ubavu wake yeye Adam, akaitwa Eve. Ambae ni mwanamke.
Wacheni wanawake wafanye wanavyotaka au wanachotaka, wala msishindane nao... lakini dunia hii inaendeshwa ki-mfumo dume daima na milele.
aisee! Sikuwa kulijua hiliMwanamume mmoja aliyemaliza kidato cha nne ni sawa na wanawake mia wenye shahada za uzamili.....
Mwanamume mmoja aliyeishia kidato cha sita ni sawa na wanawake mia wenye shahada za uzamivu(phd)
Mwanamume mmoja aliyeishia darasa la saba ni sawa na wanawake mia wenye degree...
ni Ujinga kuamini eti mnaiendesha Dunia huku wengine mkilalamika kuachwa kila kukicha. Daima mwanaume atakuwa juu ya mwanamke mpaka mwisho wa dunia hii.. Labda usawa wa kuoana wwnyewe kwa wenyewe ndio mnaweza kuupata...
hata wewe??Hivi ile dictionary yangu nimeweka wapi?!Does complexion circumscription our commensurateness with potent?
ha ha ha ha! Sikuwa mimi bhana peterchoka aliiba password![]()
![]()
hata wewe??