Wanawake ziiii...

Wanawake ziiii...

mkuu wakizidi kuomba usawa mtashangaa ongezeko linalotisha la marios in town.maana neno majukumu na usawa ni mapana sana.ua haliwezi kusigana na mtunza bustani bhanaa
ukiwaambia ukweli huo wataandamana au kukuandama kwa maneno makali
 
ukiwaambia ukweli huo wataandamana au kukuandama kwa maneno makali
kesho jamii ikitunga sheria kwamba ni zamu ya mwanamke kutoa posa pindi anapotaka kuolewa wataafiki,kisha alipe mahari na mengi mengineyo kwa mifumo ya wanaume wa kisasa hii vita ikikolea tutashuhudia mengi na ya kijinga.
 
Back
Top Bottom