Wanawake ziiii...

Wanawake ziiii...

Mweee kwa hiyo unaweza zama sio ?? Hivi hebu jiangalie hapo ulivyo mlaini ,unywele mpaka mgongoni ,macho kama unakata roho , hips 48 inch.........kweli kabisa mwili huo uzamishe mgodini ??? Hebu bakini na nature yenu kama maua bana ,mambo mengine tuachieni tu wanaume
Ndio nazama kabisa mbele ya kutafta pesa chochote cha halali nafanya. Yani mvuto huongezeka sasa pakiwa na hela nzuri mana unatunza na Ku maintain every thing including body shape
 
Uziguani siendi.... Nimetulia tuliii hapa nilipo, tunasikiliza raggae tu na bae
haya mimi nipo mwenyewe getto nasikiliza ngoma ya George Benson nothings gonna change my love for you
 
Sahivi kaniwekea She is Royal wa Tarrus Rilley hivi kweli ntatoka hapa niende wapi Jimena mimi??
 
Ndio nazama kabisa mbele ya kutafta pesa chochote cha halali nafanya. Yani mvuto huongezeka sasa pakiwa na hela nzuri mana unatunza na Ku maintain every thing including body shape
Ngoja twende pole pole ushajiuliza swali kwanini inakua rahisi kwa mwanamke kukunja miguu either kuja mabegani au ku spread side ways lakini tendo hilo ni vigumu kwa mwanaume ??? Huo mvuto utaongeza na ulanga na nywele kukatika ???
 
Women weren't created to do everything a man can do. Women were created to do everything a man can't do. Wale wenzangu wanaotaka usawa, dream On.
 
Leo ni siku ya wanawake duniani kabla ya kwenda sana kwanza fikiria "siku ya wanawake." Si nia yangu kuwakandia but hoja yangu ni vita vya kipumbavu wanayopigana na jinsia ya kiume.

Ukiwasikiliza kwa makini utagundua kuwa adui yao mkuu ni mwanamme na si vinginevyo itakuwa vigumu kushinda nature ninacho kiona wanawake wanakwepa asili yao,wanakimbia majukumu yao,asili ya umbile yao itawahukumu na daima hawatashinda vita hiyo maana hawajamjua adui yao ni nani,adui yao ni wao wenyewe kwa tabia zao za asili,maumbile yao na kiasili kinachowafanya wawe jike mwanamme sio adui yao.

Mfano mzuri ni kwamba mtoto wa kike anaye kimbia malezi ya wazazi kisha anakwenda kujiunga na maisha yasio fuatiliwa na wazazi kisha anapata mimba,hivi then ana kuja kulaumu nimebakwa,nimekimbiwa na kutelekezwa!Hapa ndipo palipo na upumbavu mtoto wa kike lazima ajijue yeye ni mtoto wa kike na apambane ni kike kike maana mfumo unaruhusu.

Sasa wanapojiona nao ni dume basi hapo tujue hakuna familia matokeo yake tutapata watoto wengi wa mitaani kisha jamii katili na isiyo na elimu na maskini asili yao ndio aweza kuwa adui yao mkuu mwanamke ndiye mwenye nyonyo ya kumnyonyesha mtoto but anaacha kumnyonyesha mtoto ili ziwa iwe still!,mtoto kadogo anaachiwa house girl amtunze binadamu ni mnyama na wanawake wakitaka kwenda mbele warudi kwenye asili yao kwa Hawa kuwa

Adamu hawataweza.Adui yenu ni kiasili chenu
Mh! Maneno makali hayo mkuu.
 
Dunia inaelekea kuisha tangu lini mwanamke awe sawa na mwanamume??

Siku hizi kila kitu ni kinyume na mwanzo
1) wanawake wanataka usawa
2)ushoga
3)usagaji
4)kuabudu na kuthamini fedha kuliko chochote

Haya yote ni mabalaa kwa maisha ya sasa

Wanyama wanawashinda wanadamu kwa kila kitu tangu dunia imekuwepo sijawai kuona mnyama shoga au msagaji
 
Sahivi kaniwekea She is Royal wa Tarrus Rilley hivi kweli ntatoka hapa niende wapi Jimena mimi??
unaweza kuja hapa nilipo kwa kuwa huwa najiuliza kama anavyojiuliza Michael Borton How am i supossed to live without you?
 
Kwahakika utasubiri sana maana sasa kaweka mysterious girl wa Peter Andre
 
1457458831130.jpg

Huku kwetu mara hakuna mambo ya wanawake aiseeee....
 
mimi mwanamke ila siamini katika hicho kitu usawa kabisa ,.. ni kitu kipo theoretically ila practically ni uongo
Nimetokea kukupenda miss chagga ulivyo mkweli na muwazi. Keep it up. Wengine huwa wanabishi kwa mambo ambayo moyoni mwao wanajua wanabisha ili waonekane washindi.
 
Ngoja twende pole pole ushajiuliza swali kwanini inakua rahisi kwa mwanamke kukunja miguu either kuja mabegani au ku spread side ways lakini tendo hilo ni vigumu kwa mwanaume ??? Huo mvuto utaongeza na ulanga na nywele kukatika ???
Sijawahi kujiuliza hilo swali, na kwanini inakuwa possible kwa mwanamke.
 
Back
Top Bottom