Wanawake Zanzibar waandamana

Wanawake toka visiwa vya Unguja na Pemba wameandamana kupinga wanawake wa kutoka Tanga kuwaibia wanaume zao. Wanawake hao wamedai waume zao wakinaswa kwenye mapenzi kwa wanawake toka Tanga basi waume zao wanazamia moja kwa moja na kusahau wake zao majumbani.
Source: mm mwenyewe nimeshuhudia maandamano hayo jana.

waliandamana kwenda wapi?
 
acha tu wandamane aise, wanawake wa tanga ni hatare akikuchukulia mume we nenda kwenye maombi tu manake akirudi ni bahati yako..
mimi kuna rafiki yangu kutoka tanga alinipa majani fulani hivi akaniambia nisage nichanganye na asali halafu niweke huko chini for half an hour halafu nihakikishe siku hiyo nalala na mzee...mmhhhh usiku wakati wa shughuli mzee hadi alipiga kelele akaniuliza leo mbona tamu kupindukia? nikamwambia kawaida tu, akasema noooooo, there is big different..

basi nikamuuliza ile kitu uliyonipa inauzwa wapi nikanunue? akaniambia inatoka oman na kipimo kidogo kabisa ambacho ni kama vijiko 5 inauzwa laki 2,....

kuanzia hapo nilichoka kabisa nikasema hawa wenzetu wako mbali sana kwenye masula mazima ya mapenzi..
 
Mkuu na wewe ukiomba kukumbushia mang'ana atakupa tu

sitaki hata kusikia hiyo kitu mkuu,alishakuwa mke wa mtu.iliniuma mwanzoni lakini baadae nikazoe.nikikutana nae huwa anasema angejua asingenisaliti kwa mshikaji eti mimi ndo alinipendaga sana.huwa sipendagi hata kumsikiliza,najua huyo ni shetani tu ndo anamtuma
 
Wanakumbuka shuka kushakuchaaaa, wasiandamane wapambane kike waulize waume zao wanapewa nini?
 
Chezeya wadada wa kutoka Tanga weye!!!! Njembas za visiwani zimepagawa
CC: Yegomasika

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom