Wanawake Zanzibar waandamana

Toto za kitanga fundi bana kunako 6*6

sitasahau maishani nilipopelekwa tanga na kuwekwa kuwa afisa mikopo dada mmoja alikuja kuchukua mkopo mzuri kama nini nikampigia makato yake na alikuwa amekamilisha document zote nikamuambia kuwa kesho au siku inayofata mkopo utakuwa umekamilika jioni nikaenda zangu home wakati napaki gari kaniona kumbe anaishi mitaa ileile
dada akaniambia kuwa ujue dada nakupenda sana ila naogopa kukuambia nikamwambia nimekuelewa nitajaribu kukusikiliza wakati huo tumeingia ndani kwangu kusutuka demu kanisogelea nikaanza kushikwashikwa du ikabidi nipige kitu du nilidata nilitaka kuhonga gari ila rafiki yangu kanishauri ndipo nikahama kuja mkoa mwingine
tanga kunatisha
 
Hamshangai sisi wengine kila baada ya wiki mbili tuko Tanga? Kule ndio kwenyewe! Sijawahi kupakwa machicha ya nazi na mwanamke wakati wa tendo zaidi ya Tanga! Hakuna mfano aisee!
 
Hawajui tu, badala ya kuwataka wanaume wao warudi ni bora wao watualike sisi, baada ya wiki moja tu wanaume wa zenji wataandamana!!
 
kuna mshikaji wangu mmoja tulikuwa nae sehem flani hivi tunapiga kazi,mi nikawa natoka na mtoto wa kitanga,nikapata transfer kuja dar,nikamwambia mshikaji ngoja mi niende nikaweke mazingira fresh halafu nitakuja kumchukua shemeji yao.mshikaji akasema poa.nilipoondoka na yeye akamamua kuomba akapewa,huwezi amini,mpaka leo jamaa kaweka ndani,jamaa alinasa,kanasa kweli mpaka wa leo ndo mke wake japokuwa hawajabahatika kupata mtoto.jamaa alinipiga bao chafu,lakini kwa kweli alinisaidia coz dem hakuwa na tabia nzuri kivile lakini kumuacha inakuwa shida,anakukera,anakufanyia madudu lakini kumuacha ni kazi,ukikumbuka mapigo unayopewa,mara ya kichina,mara ya kivietnam etc etc,unaona ukimuacha utamiss mambo mengi.baada ya jamaa yangu kumbeba ndo ikawa pona pona yangu

Mkuu na wewe ukiomba kukumbushia mang'ana atakupa tu
 
Hamshangai sisi wengine kila baada ya wiki mbili tuko Tanga? Kule ndio kwenyewe! Sijawahi kupakwa machicha ya nazi na mwanamke wakati wa tendo zaidi ya Tanga! Hakuna mfano aisee!

Kaka metisha na unafaidi dunia
 
Hamshangai sisi wengine kila baada ya wiki mbili tuko Tanga? Kule ndio kwenyewe! Sijawahi kupakwa machicha ya nazi na mwanamke wakati wa tendo zaidi ya Tanga! Hakuna mfano aisee!

hahahaha unapakwaje hayo machicha ya nazi....hiyo mpya mwe....
 
Hahahaaaa,machicha ya nazi!!!Huu uzi utasababisha nauli za Tanga zipande maradufu,maana weekend wengi tutaelekea Tanga!Chezea machicha ya nazi wewe !
 
Ndio faida ya kubweteka. Mwanaume umeshamzowea basi unajiachia tu, shauri zao. Wewe ukisema wa nini, wenzio wanawaza watampata lini. Ndoa ni kama bustani, ambayo majani yake hupendeza kwa kuangaliwa na kumwagiwa maji. Sasa wewe ukijidai una bustani halafu hukati majani, humwagilii maji, akitokea mjuaaji wa kukata hayo majani na kumwagilia maji, basi ujue ndio mwisho wako, utabaki unalia na mito kitandani.
 
Back
Top Bottom