LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,977
- 37,879
I appreciate black women because most of them have real love na sio wapenda makuu....
Uchunguzi unaonyesha, wanawake weusi ni moja wapo kati ya sababu kuu zinazo wafanya vijana weusi kutukuza wanawake weupe ( wazungu ). Picha hii inajielezea yenyewe.
USHAURI : BLACK WOMEN STOP DOIN ALL THESE STUFFS.. BLACK IS SO BEAUTIFUL!!!!
Kwa taarifa yako waanawake weusi ni warembo na wana mvuto wa ajabu hususani katika mapenzi, na ivilevile ni beauty kwa muonekano wao na vilevile ndo wenye maendeleo kuliko hao unaodhani ni weupe wewe nenda kwenu nalumango kajionee mwenyewe wanajituma kikazi zaidi, nashangaa sana baada ya kusifia vya kwenu unawashobokea wazungu ebooo!

[/QUOTE]hebu angalia avatar yangu hapo juu uone kuwa black is beauty wewe QUOTE=Walas Ba;6066316]cjaelewa
Sasa mleta mada umewakimbilia hao, mbona dada/mama zetu %98 hapa bongo huwa wanatengeneza nywele kwa mitindo ya kizungu? Huoni hata hayo mawigi ni mtindo wa kizungu?
Kuwatukuza kivipi?? Ebu fafanua
Umeelewa mada lakini? Hebu irudie tena afu uchangie upya.Kwa taarifa yako waanawake weusi ni warembo na wana mvuto wa ajabu hususani katika mapenzi, na ivilevile ni beauty kwa muonekano wao na vilevile ndo wenye maendeleo kuliko hao unaodhani ni weupe wewe nenda kwenu nalumango kajionee mwenyewe wanajituma kikazi zaidi, nashangaa sana baada ya kusifia vya kwenu unawashobokea wazungu ebooo!
Umeelewa mada lakini? Hebu irudie tena afu uchangie upya.
Na haka kamvua hebu sogea huko. Leo hata chai staki! Nataka tena wife.weee hebu rudi chumbani upesi