Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Kwa mimi hapana..Nmegundua kidogo wengi hawaukubali weusi wao.,..
Nimegundua weusi wengi wanajiheshimu saana. [emoji125] [emoji125]
Kwa mimi hapana..Nmegundua kidogo wengi hawaukubali weusi wao.,..
KWA USHIRIKINA HAOOOOOO......Wanajamvii habari za weekend, nitakuwa nadhulumu nafsi nisipowapa sifa wanawake wote weusi kwa kuwa wananivutia sana huwa nahisi ni kutokana na mimi nilivyo ila....
Kwa wachache niliokutana nao walikuwa waaminifu, wakweli, wakipenda wanapenda kweli, washauri wazuri, hawajiskii, hawana tamaa, waelewa, hupenda kukupa lift unapokwama, wivu unaotakiwa, waelewa, wanasubira pia.n.k.
May God bless all black women..
Nafurahi kusikia hivyo mumyIko poa kabisaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Eeh ex wako eeeh!
Haya black white beauty wetu [emoji6]
Niko poa sana mkuuHunishindi sijui kwa nini tuna pishanaa?
Natumai uko poa lakini na uzi wetu bado upo pia?
Ntafanyaje sasa maana wewe kwq weupe utakuwepo tu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Imebidi ujumuishe sifa zote.
Kweli kabisa, wakisifiwa wasukuma au wachaga nasi tunakuwa makabila hayo hayo. Hatuchezi mbali na sifa.Sifa zilipo; Tupo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Weeee mbona umetutolea sifa chache sana??hebu ongeza ongeza hukoooo
Hahahaaa!Hii thread imefanya tujuane rangi[emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya hii muanzishe nyingine ya wembamba then tutajuana tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
HahahaNimemwona eti naye mweusi leo
Hebu acha figisu my ex, we tupe sifa tu, hayo mengine siku nyingine.Na kwa maana hiyo, sio kweli kwamba wanawake weusi wako hiyo tabia haina rangi. Akija mwingine akatoa shuhuda ya mwanamke mweusi apa tutashangaa wote.
Leo kila mtu mweusi
Nipo mamy... Majukumu tu ndo yananikimbizaNafurahi kusikia hivyo mumy
Tuko pamoja mai ila punguza kujificha tuwe tunaonana.
Kote tupo, kasoro kwenye kuchinja viuno tu tehKweli kabisa, wakisifiwa waukuma au wachaga nasi tunakuwa makabila hayo hayo. Hatuchezi mbali na sifa.
Kwa leo acha tu tuwe cheusi mangala.Alafu kuna jambo nimegundua Leo kuwa wanaochangia mada hii katika wanawake,wote ni wakina cheusi mangala.
Usicheke mamy mpaka hapa tushawajua weusi na weupe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa!
Mapinduzi ya mapenzi,mahusiano na urafiki? We kafanye tu mapinduzi mpendwa.Yaani lumumba wanalipia hata posit kama hizi ili kuzuia mawazo ya kimapinduzi kupenyeshwa kwa watu!
SawaKwa leo acha tu tuwe cheusi mangala.
Hivi kwa sifa hizi unaachaje kuwa mweusi.