Iamwhoiamm
JF-Expert Member
- Oct 18, 2022
- 503
- 890
Wanawake wengi wanapenda kupaka mikorogo Sasa ukijichubua UKAWA na rangi mbili nani atakupenda wanawake WAACHE mikorogo unakuta uso baada ya kuwa mweupe unapungua kwenye weupe na kuwa mwekundu sio Kila mtu ANAPENDA anapenda mwanamke mweupe na sio Kila mtu ANAPENda mwanamke mweusi it's just a destiny just be you vidole vikichanganyika tu ni shida

