Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,330
- Thread starter
- #141
Em usiseme ivo,nampenda kweli yule plzz
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa shemeji
Em usiseme ivo,nampenda kweli yule plzz
Tunaangalia wowowo tu rangi haituhisu
Leo hushtuliwiiiiUtanistua pia dyadyaaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
TuwapumzisheTunaangalia wowowo tu rangi haituhisu
Namtaka
KWakuwa nawe umesema mimi nani hadi nipinge wakubwa zanguuu.Dogo Mwachiluwi , kiukweli kuna vitu vingine sisi wengine humu tunashindwa kuvisema kutokana na umri wetu!, ila hili la black, chocolate, ebony ni kweli!, na kuna kitu very special kuhusu hawa black, sii wengi wanakijua... Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!.
P
Mamaa ni hatari na nusuKiukweli hata mwanaume mweusi mhogo wake una radha ....asiwe kiba100 tu.So sweet[emoji8][emoji39]
Tumefikiwa [emoji23]Hatimaye...
Ushaoa??Ase I'm crazy of black woman
Nikiona mwanamke mrefu mweusi msafi huwa nachanganyikiwa
Hatari [emoji91]Guys habari
Acha niwaibie siri hawa wanawake weusi so sweeto yaani wana ladha ya kipekeee achana na hawa wanao jichubua hadi mapaja.
Mwanamke mweusi ana joto af sasa ni watundu sana mpaka unajiuliza mbona kama nimechelewa kuwajua.
Lips zao huwa laini za kuteleza na kuvutia cheusi ulipo kunywa soda boss nipo hapa [emoji39]
chukua 5 mamaKiukweli hata mwanaume mweusi mhogo wake una radha ....asiwe kiba100 tu.So sweet[emoji8][emoji39]
👊😉chukua 5 mama
Nahisi unazo hizo sifa. Hengereni black beauty.Wacha weeh wacha weeeh.
Asante sana mkuu.