Wanawake weupe vs Wanawake weusi

Sijawahi kukutana na mwanamke mweupe mwenye Labia ndefu zilizoshiba!! Sijui hawajui kutumia maua ya mti aina ya "sausage tree"? Khantwe Mama Sabrina

kutoka: 22D Arnold st.
 
Mwanamke mbaya akiwa mweupe, weupe wake utambeba ataonekana na yeye yumo, maana yake mwanamke mzuri akiwa mweusi ni kiboko. Weusi watamu sana mjue.
 
binafsi weupe, kipendacho roho hula nyama mbichi. mweupe asiwe kibonge
 
Weupe mara nyingi wanajificha kwenye uweupe wao, ila weusi wakiwa wazuri ni wazuri kweli.
 
Chocolate colour ndo mambo yangu..

United Fan
 
Mnajifanya kuwakana weupe wakati wanawake wengi wanajichubua kwa ajili yenu wanaume wanafiki nyinyii
Wengine mkiwa na wanawake weupe na nyie ndio mnaonekana wazuri kiasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kupiga gemu matata tu wanawake weusi wanavutia, sio too black, yaani ile chocolate, ila kwa mwonekano tu madem weupe wako poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Black are more beautiful, ukitaka kujua hilo imagine mwanamke yoyote mweupe unayemwona angekuwa mweusi ingekuwaje. Utacheka hadi uzimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…