Wanawake weupe vs Wanawake weusi

Wanawake weupe vs Wanawake weusi

Mkuu swali gumu sana hilo,binafsi nafikiri inategemea na msimu.Wakati nikiwa na mweusi basi nataka mweupe na wakti nikiwa na mweupe nataka mweusi.
 
Mlishajadili sana hii topic hum ndani mpaka naanza kuhisi mnatafuta njia ya kutusimanga wenye rangi kama mkaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Usihofu mtt mdhuri, color so ishu kama una nundu. Kigezo cha rangi kitazingatiwa kama una shape ya pilipili kichaa ama kama una date na mtoto. Wazee wa masaburi tunahakiki nyonga tu kama imesheheni neema za Allah!
 
Hahahah mie pia. Sitaki kwenda kinyume na watafiti nisije kufyatu
Kwangu kikubwa ni kifurushi chake tu alichojaliwa, sina nia mbaya mkuu kikubwa mwanangu nataka aje kuwa na akili kama tafiti za chuo kikuu cha oxford kinavyosema
a vilaza maana mie nina uhakika zimo sana!
 
Inategemea na muonekano wa rangi ya mtu mwenyewe na uzuri au anavyoitunza ngozi yake kuna wengine weusi wanavutia wapo hawavutii, wengine weupe wanavutia wapo hawavutii

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina nia mbaya ila ukweli ni kwamba bongo weusi ungekuwa deal fremu nyingi mtaa wa msimbazi zingekuwa zishafungwa kwa kukosa wateja.
 
Kama kichwa cha habari hapo juu unavokisoma, kati ya "Wanawake weupe vs wanawake weusi"

Je, ni wanawake gani wazuri? Au wanavutia kimapenzi? Binafsi madem weupe wananivutia sana hii colour nipo nayo addicted sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mada tam sana hii,,, mimi ntaangalia chura yuko wapi, siangalii color,,, shape ndo mzuka baba,,, hasa pale nnapochanganya disc,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usihofu mtt mdhuri, color so ishu kama una nundu. Kigezo cha rangi kitazingatiwa kama una shape ya pilipili kichaa ama kama una date na mtoto. Wazee wa masaburi tunahakiki nyonga tu kama imesheheni neema za Allah!
Hahaha kweli wengine hatuna bahati, rangi tumenyimwa na nundu pia hamnaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom