mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
we ni mluguru nini haujawahi kutoka nje ya morogoro ukaona watz wa type zingine? kuna wanawake wengine warefu hadi kuwatongoza unawagwaya....
macho yako tu mzee. unaishi mji gani lakini. pengine si kosa lako.mkuu mimi sio mluguru ila ukweli ni kwamba, hao warefu unaosema wewe wanahesabika. unaweza ukatoka kwenu huko unakotoka kuelekea mjini kisha ukakutana na wanawake warefu wawili tu au usione kabisa! mpaka najiulizaga hivi hii nchi ni ya vimbilikimo?!
mkuu mimi sio mluguru ila ukweli ni kwamba, hao warefu unaosema wewe wanahesabika. unaweza ukatoka kwenu huko unakotoka kuelekea mjini kisha ukakutana na wanawake warefu wawili tu au usione kabisa! mpaka najiulizaga hivi hii nchi ni ya vimbilikimo?!

Aiseeee....
Mleta mada atakuwa amezaliwa,kukulia na hajawahi kutoka eneo la bwawa la Mindu Morogoro.
mi najua tezee mikoa yenye watu wafupi ni moro, kigoma na kilimanjaro huko upareni
na ukiwakuta wanalinga na huo ufupi wao balaa.... wangejijua lol!!!!
mi najua tezee mikoa yenye watu wafupi ni moro, kigoma na kilimanjaro huko upareni
Hahaha...eti mbilikimo..dada zako warefu??tuanzie hapo
Maadam dushe langu ni refu basi inatosha hicho kimo cha mwanamke hakinihusu. Kama anaweza kumeza dushe lote tatizo nini?