Nyuzi za Jumatatu asubuhi huwa ni malalamiko tuKimekupata nini mkuu 😃😃
Ukifikiria mapenzi masaa 24 lazima tu uwe romantic .Wachaga hawapo romantic na wanawake wote wa mikoani.
EtiVijana wa siku hizi mnatuaibisha sana baba zenu. Maana mnalia lia na kulalamika hata kwa vitu visivyo na sababu za msingi.
Si ndiyo hapo sasa. Yaani vitu vidogo tu, na viko ndani ya uwezo wao! Bado wanalalamika.Eti
Ye si achague wakike kike
Sana, mahusiano bana mme ajulikane ni yupi na mke ni yupi, sio mke anakuwa kama mme tena kukaza kwa sana kama sisi wanaume, ni ujinga flan hivi. Raha ya mtoto wa kile alegee, sauti nyororo sio gubegubeNa huwa haileti hata ile maana halisi ya mwanamke.
Uko na mwanamke lakini kama uko na mwanaume.
Rosa ree na ununda wote alilambwa shingo tu chariiiii saivi analeaKuna mahali hujamgusa vizuri mkuu mbona wanalegeaga tu Hao chaap.....tumia uanaume wako vizuri mkuu