je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???
asanteni...
Profession ya mtu haina uhusiano na cheating kwenye mahusiano. Tabia ni tabia hata kama mtu hajui kusoma wala kuandika. Vitu vingi huchangia cheating mfano malezi, kutoaminiana, kupunjana n.k.Habari za sasa wana jukwaa.. mimi Excel, nina duku duku ambalo nafahamu linaweza tatuliwa na wadau humu ndani.. naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao.. 1. wanawake wanasheria.. 2. wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting.. 3. wanawake madaktari na waalimu.. je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu??? asanteni...
Habari za sasa wana jukwaa..
mimi Excel, nina duku duku ambalo nafahamu linaweza tatuliwa na wadau humu ndani..
naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..
1. wanawake wanasheria..
2. wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting..
3. wanawake madaktari na waalimu..
je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???
asanteni...
Hapo umepotea hamna type yako! kachukue wa EDUCATION ndio type yako
ahsante kat.ph!Wanasheria ni much-know hatari..... kama unae jiandae kisaikolojia. Wengi ndoa zinawashinda.
Walimu ni loyal.
Don't know about the rest
mkuu naomba maelezo zaidi kidogo hapo!
hivi ukifumania mwanamke mwanasheria inakuwaje hasa!?
ukijichanganya si inaweza kula kwako?
Profession ya mtu haina uhusiano na cheating kwenye mahusiano. Tabia ni tabia hata kama mtu hajui kusoma wala kuandika. Vitu vingi huchangia cheating mfano malezi, kutoaminiana, kupunjana n.k.