Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,303
Reaction score
17,830
Baadhi ya wanaume wanawasifia sana wanawake wenye ndevu.

Inasemakana wanautofauti mkubwa sana hasa kwenye mapenzi na mafanikio kimaisha.

Binafsi sijawahi kulidhibitisha hili.

Wadau wa MMU, mnajua nini juu ya hili?

Halafu si wengi wenye nazo.
 
^^
Nimewahi kusikia mahali kuwa ni wazuri katika biashara,pia ukiwaoa ukawa msikivu ktk ushauri wao unaweza kuwa tajiri.
Sikuamini maana isiwe kama maneno mbofu mbofu ya Hayati Mr.Ebbo
^^

Basi kuna kaukweli hapo!
 
Baadhi ya wanaume wanawasifia sana wanawake wenye ndevu,

Inasemakana wanautofauti mkubwa sana hasa kwenye mapenzi na mafanikio kimaisha..

Binafsi sijawahi kulidhibitisha hili...

Wadau wa MMU, mnajua nini juu ya hili?

Afu si wengi wenye nazo!


Nina midevu, na sijafanikiwa kimaisha wala kimapenzi. Sio kweli..............
 
Wana homoni za kiume ndio maana wengi hawaogopi kujaribu, ni wepesi katika kufanya maamuzi magumu na niwavumlivu sana.
Wengi wao wanaweza kusimama kwa miguu yao wenyewe, bila kutegemea buzi wala kidumu.

confidence!
 
Nina midevu, na sijafanikiwa kimaisha wala kimapenzi. Sio kweli..............
destiny1 hujui kuzitumia ndevu zako ipasavyo, hebu ni PM namba yako ya simu nikufundishe, pia waweza mtafuta Mamndenyi uone ndevu zake zilivyoambatana na mafanikio makubwa
 
Last edited by a moderator:
Wana homoni za kiume ndio maana wengi hawaogopi kujaribu, ni wepesi katika kufanya maamuzi magumu na niwavumilivu sana.
Wengi wao wanaweza kusimama kwa miguu yao wenyewe, bila kutegemea buzi wala kidumu.

Atleast ina logic, mimi ni risk taker sana. Nafanya ninachokiamini, hapo labda
 
Bujibuji ni kweli kabisa. Nina mifano hai karibu mitano ya wanawake wenye ndevu. Wanajiamini sana na ukiwa nao karibu au ukiwaoa kisha ukasikiliza ushauri wao,lazima utoke kimaisha.
 
Na kwa kuongezea...ni watamu sana..mie ninaye. Asikuambie mtu..pia ni smart kichwani...na wanaweka hoja mezani kiasi kwamba ukiwa legelege anakuwa yeye baba wewe unakuwa mama. Kifupi ni majembe na ndio maana wengi wao wana-mafanikio ki-maisha. Go geter attitudes.

Hahahahah yani leo mmeniacha hoii, huwa zikitokea tu nazichomoa fasta, kuanzia sasa nitakuwa naziacha huku natembeza kidevu juu juu hahahahahah
 
We bujibuji taratibu zunguka nyuma tuongee kwa dirishani bana, baba nanii akikuona atakuja na marungu. Halafu Mmasai

hapo si unapata somo tu! how to use ur resources effectively
 
leo ndo nimejua, ninavyo vijindevu vichache ila bahati sina na hela sina au ndo kwasababu navichomoaga fasta pindi tu vikiota
usikute ndo nafukuza bahati.maana hakuna anayejua ninavyo zaidi ya ndugu yangu wa damu leo nimetoa siri
 
Back
Top Bottom