kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,184 May 22, 2017 #41 >> NA hawa wanaotoka NDEVU baada ya KUPAKA mkorogo WAPO ktka KUNDI gani?? >>
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,111 Reaction score 51,265 May 22, 2017 #42 Utaanza kufanya watu wapandikize ndevu ili waolewe
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 May 23, 2017 #43 It seems right...Niliwahi kushuhudia mwanamke mmoja mwenye ndevu alishiriki ile promosheni ya voda milionea alishinda aisee
It seems right...Niliwahi kushuhudia mwanamke mmoja mwenye ndevu alishiriki ile promosheni ya voda milionea alishinda aisee
Nyankuzi JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 465 Reaction score 391 May 24, 2017 #44 Kumbe tunabahatii walikua wanatucheka dah
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,162 Reaction score 9,192 May 24, 2017 #45 Ulozi umetuathiri sana kimawazo