Mm lips zako tu niko taabaniMtoa mada utapingwa sana na wapenda misambwanda
Nakuona team msambwandaMwanamke tako bhana, hata km sio kubwa lkn kawepo walau kakutenga kiuno na mgongo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
CajojoMbona hyo misambwanda inakua na uwazi mkubwa hivyo???
PoleHahaha,mkuu me nikikosa kimbaumbau nakuwa na mawazo sana
PoleHahaha,mkuu me nikikosa kimbaumbau nakuwa na mawazo sana
Sina chogo wala flat screen size ya kati Hii sasa sijui mnaitaje nyieNakuona team msambwanda
Kumbe uko kwenye size pendwa... SafiSina chogo wala flat screen size ya kati Hii sasa sijui mnaitaje nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu me baba mbongowemma: 23245384 said:Kiongozi, I hope you are not african. Unawezi kuzaliwa Africa na mama baba waafrika lakini usiwe Mwafrika. Hilo ni kawaida kutokea hasa zama hizi. Hao wamama wadada wa maumbo hayo, usifikiche macho wala kutumia akili ya computer ; hao ndo wakiafrika. Ndiyo maumbo ya kiafrika. Unajua kila utamaduni una "taste" zake. Wewe mwafrika unakuwaje na taste za kizungu? Unless you have been Europeanized. And if you are an African and you are Europeanized, oooh no that's not good. Inabidi utiwe maji, ili uurudie Uafrika wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
unataka kutuaminisha kwamba Afrika hakuna wanawake wembambaKiongozi, I hope you are not african. Unawezi kuzaliwa Africa na mama baba waafrika lakini usiwe Mwafrika. Hilo ni kawaida kutokea hasa zama hizi. Hao wamama wadada wa maumbo hayo, usifikiche macho wala kutumia akili ya computer ; hao ndo wakiafrika. Ndiyo maumbo ya kiafrika. Unajua kila utamaduni una "taste" zake. Wewe mwafrika unakuwaje na taste za kizungu? Unless you have been Europeanized. And if you are an African and you are Europeanized, oooh no that's not good. Inabidi utiwe maji, ili uurudie Uafrika wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndio size yanguSina chogo wala flat screen size ya kati Hii sasa sijui mnaitaje nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Size pendwa tena? Wakati nyie mnapenda mizigo mikubwa mikubwaKumbe uko kwenye size pendwa... Safi
dah pole sana mm ndio wale wa group 0Sijui kwanini me sipendi warembo wanene,yani akipita kimbaumbau utaona mijicho inavyonitoka.
![]()
Sijui ile wanaita misambwanda na mimi vitu viwili tofauti,siwezi kupoteza mda wangu kugeuka nyuma kuusindika Kwa macho msambwanda.
Sasà kakipita kadogo Dogo hivi basi kamoyo kanaanza kwenda mbio mbio bhana
Ila kama unajijua upo kama hawa hata usinishobokee maana wee sio wa type yangu
![]()
h
![]()
Deadbody
Kwani Ulaya hakuna wanawake wanene. Sikiliza, nasema, wanawake wanene ndiyo maumbo ya taste ya kiafrika. Siwasemi mabinti zangu wembamba, hapana. Nasema, kama ilivyo Ulaya wamama wanene siyo taste yao wazungu (ingawa wanawake wanene kule Ulaya bado wana haki zote) ila si unajua wazungu hawapendi pendi. Likewise huku kwetu pamoja na haki zooote kwa wamama wembamba lakini for real African mmmmh siyo taste Yetu. Ukienda kule kwetu(usiniulize) kama mke wako kwa miaka miwili hajaongezeka, oooh you are in trouble, utaitiwa Wazee unaulizwa una tatizo gani kimaisha. Eeeh and that's African.unataka kutuaminisha kwamba Afrika hakuna wanawake wembamba
*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*