Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,231
sawa ,je kupenda wembamba kunadhihirisha mimi si muAfrika?Kwani Ulaya hakuna wanawake wanene. Sikiliza, nasema, wanawake wanene ndiyo maumbo ya taste ya kiafrika. Siwasemi mabinti zangu wembamba, hapana. Nasema, kama ilivyo Ulaya wamama wanene siyo taste yao wazungu (ingawa wanawake wanene kule Ulaya bado wana haki zote) ila si unajua wazungu hawapendi pendi. Likewise huku kwetu pamoja na haki zooote kwa wamama wembamba lakini for real African mmmmh siyo taste Yetu. Ukienda kule kwetu(usiniulize) kama mke wako kwa miaka miwili hajaongezeka, oooh you are in trouble, utaitiwa Wazee unaulizwa una tatizo gani kimaisha. Eeeh and that's African.
Sent using Jamii Forums mobile app
*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*