Wanawake wenye misambwanda hawanivutii kabisa

Wanawake wenye misambwanda hawanivutii kabisa

Mwenye akili hawezi kumdhihaki mwanamwali.
Nachukua nafasi hii ya pekee kukushukuru Mungu kwa zawadi yako ya pekee ya kuwaleta warembo wengine wanene wengine wembamba ili mradi tu kunipa uhuru wa kuchagua.
Sifa, utukufu na heshima viwe nawe Mungu wangu milele na hata milele. Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wenye sambwanda hata kutoa hawajawahi cjui faida iko wap, ndio maana jamaa anadili na vipotabo tu, isitoshe vinajua sana hata katka utoaji sewage yani chembaaaa
 
Sijui kwanini me sipendi warembo wanene,yani akipita kimbaumbau utaona mijicho inavyonitoka.

f6c63f5a5a10e3133a03e75691b9f42b--healthy-women-beautiful-black-women.jpg

Sijui ile wanaita misambwanda na mimi vitu viwili tofauti,siwezi kupoteza mda wangu kugeuka nyuma kuusindika Kwa macho msambwanda.

Sasà kakipita kadogo Dogo hivi basi kamoyo kanaanza kwenda mbio mbio bhana

Ila kama unajijua upo kama hawa hata usinishobokee maana wee sio wa type yangu
maso.jpg

h
AgnesMasogange1.jpg


Deadbody
Afadhali ushindani kwenye misandambwanda upungue.
Sisi wengine kimbaumbau unaweza kulala naye bila shida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom